Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Kwa s<script id="gpt-impl-0.09385141455282058" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_63r.js"></script>asa Diamond ndio msanii anayetoa video kali na zinazopendwa kuliko msanii yoyote kwenye ukanda wa Africa mashariki na kati .

Ni msanii anayeongoza kuingiza pesa nyingi kupitia social media kuliko wote Africa.

Ndio msanii anaeongoza kwa video zenye viewers wengi kwa sasa Africa yote .

Ndio msanii anaeongoza kwa show zenye mvuto zaidi kwa sasa,haswa upande wa kucheza Africa yote.

Ndio binadamu- anaeongelewa kuliko binadamu- wote ukanda huu wa maziwa makuu.

Girlfriend wake Zarithe bossylady ndio mwanamke anaefatiliwa na kuongelewa kuliko mwanamke yoyote East Africa.

Mtoto wake Chibu Junior ndio mtoto anaesubiliwa kwa hamu kuliko watoto wote Africa na hii ni kabla ata ajazaliwa. Ndio mtoto anaeongelewa zaidi ,amevunja rekodi ya mtoto supastaa Sasha wa Sugu na Faiza .

Dancers wake ndio madensa wanaotengeneza pesa ndefu kuliko madensa wote Africa. Wanatengeneza pesa kuliko mastaa wengi tu .

Mpiga picha wake professional kifesi ndio mpiga picha aliyepiga picha nyingi zaidi msanii tangia nchi ipate uhuru . Na ndio photographer aliyesafiri nchi nyingi zaidi kushinda ata issa michuzi- ,ameshagonga passport tisa mpaka sasa.

Huyu ndio Diamond chui wa tandale.

Ni msanii wa kipekee tangia nchi kupata uhuru aliyepata mafanikio ya aina yake.

Ndio maana kila anachogusa Diamond Platnmz kwa sasa kinageuka almasi.

Team wema, kiba wote Kimya

yaah diamond nooooma pia inasemekana ndiyo msanii mwenye DOMO KUBWA KULIKO WOTE AFRIKA kijana yupo juu anazidi kung'ara kili alipataga tuzo 7 akaja akapata 2 na outside alianza na 3 now 1 ni mafanikio pia kutoka nyingi kuja chache....congra dimondd keep it up ila Kiba humuwez hahahahahaaa kiba juu aka mia.
 
Shenzi Zao... Sasa hivi Wapo Kimya.. Eti Vote For Davido...

Tuzo waliyomnyima Nyumbani Kapewa Ugenini. Ndo ujue sisi Tumekaa Kishabiki
 
Watanyooooka tu na bado, basi utasikia watu wanasema dai kapata tuzo kaanza shombo zake
kumbe watu kama Jokate wanadeserve hizo shombo
nimependa hilo shushu la diamond

ahahahahahaaa!!!!ngoja awape dozi kidogo maana walizidi kumkalia kooni mtoto wa watu!jokate aliongea shit sana kipindi kile cha ktma
 
Kumfananisha Diamond na mwanamziki yeyote Tz ni sawa na kufananisha kifo na usingizi
 
Hahaa mtalaka kakubali kiaina....kwahiyo kwa kiba yupo kma mchezaji ambae kauzwa kwa mkopo ikihitajiwa mda wowote anarudi kwenye timu yke

Ndio maana kila siku nasema Allykiba hana mashabiki wa kweli wengi,wako wachache sana wenye mapez nae ya kweli, bali ana maadui wa diamond,wote waliomshindwa diamond na wavivu wa mziki wameenda kujificha kwa kiba!!

King kiba na wema sepetu + Jokate=OO
Hatimae karata yao yamwisho kiba imeshindwa
 
Hiyo video mbona ya muda mrefu sana yule nae ana habari za kike kama sio za kitandale tandale mtu mwenye akili za kimataifa kama inavyosemekana hawezi kupost utumbo kama ule
 
Tuzo ya unenguaji na uanamziki bora ipi nzuri na ya heshima? Tehe teheeeeee

Hohohooooo ( devil's laughter ), hujambo kwanza mcute?
Hongereni timu davido (kiba&wema) kwa kupata tuzo!

Hizo zilikuwa tuzo za MTVMAMA na zote zinaheshima sawa,
Tuzo ya Best live ni tuzo anayepewa msanii ambaye ni multitalented, kama ulikuwa hujui (japo najua unajua).
Ina vigezo vingi vya kuangalia ikiwa pamoja na ni kiasi gani unaweza kutawala jukwaa, kuimba huku ukicheza, kuwasherehesha mashabiki, wanaangalia umefanya show ngapi, wapi? (Katika matukio gani? )
Kusema ni tuzo isiyo na heshima ni kuleta excuses tu za kutokukubaliana na fact kwamba Diamond ndo kaichukua na kujiweka katika comfort zone !

Ingekuwa kigezo ni kunengua Super Nyamwela asingekosekana kwenye nomination hahahaaaaa!
 
Ndio maana kila siku nasema Allykiba hana mashabiki wa kweli wengi,wako wachache sana wenye mapez nae ya kweli, bali ana maadui wa diamond,wote waliomshindwa diamond na wavivu wa mziki wameenda kujificha kwa kiba!!

King kiba na wema sepetu + Jokate=OO
Hatimae karata yao yamwisho kiba imeshindwa

Kwahiyo wamebaki kma wajane sasa nguvu zao c wangefanyia maendeleo kuliko kupoteza mda kuzuia rizki y mtu.....jana lazma walipata mshtuko wakaingia period wote
 
Akaungana na zingifuri teh, wakati ye alivopata dili ya wachina dai akapost kumpa hongera, alivotoa wimbo wake dai akapost tena kumpa hongera....
nimependa kwakweli

Kabisaa!ukipitia post zote za diamond kwenye page yake ya Insta hakuna hata picha moja ya Wema!katika madame zake wote kuna picha ya jokate tuu tena ziko kama tano hivii,kuonyesha jinsi gani hanachuki nae.

Sasa jojo akajifanya nayeye utoto wa mjini anauweza wakati hauwezi kabisaa!!ye zake ujasiriamali na kukusanya fedha basiii!!

Jokate aliheshimiwa lakini yeye mwenyewe amechoka kuheshimiwa sooo ngoja apewe anachokitaka
 
HIKI KIDOLE KIWAENDEE WOTE TEAM CHOKO, TEAM MAJUNGU, TEAM WAUA VIPAJI, TEAM MSIOKUWA NA UZALENDO NA NCHI YENU

attachment.php
 

Attachments

  • danganyeni_mtaumbuka.jpg
    danganyeni_mtaumbuka.jpg
    62.7 KB · Views: 869
Back
Top Bottom