BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,779
About time Diamond akabidhiwe kwa management ya kimataifa au yenye upeo huo itakayompeleka mbele zaidi, kwasababu hao jamaa alionao ni wazi uwezo wao umefika mwisho, na wamejitahidi sana, so big-up kwao.
Diamond ni brand sasa, na ni Icon ya taifa, but he still conducts himself like a hoodrat he is, cuz he's surrounded by the likes. Jamaa anatakiwa kuwa na PR team itakayo-monitor chochote anachosema popote, kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla. Cuz let's face it, you can change a wardrobe but not the man under the clothes. Hizi drama na vitu zake za zamani sio level yake kwa sasa, na zinamshushia heshima.
Jana Nigerians wameonyesha jinsi walivyo wamoja na wakomavu, D'Banj licha ya tofauti walizokuwa nazo na Don Jazzy, aliutambua mchango wake bado. Hawa jamaa wanaelekea sayari nyingine kimuziki kwa sababu wana umoja. Wasanii wakishaonyesha umoja, hata mashabiki wao wataungana pia. Tusipochukua hatua za haraka, muda si mrefu tutabaki kuwa watazamaji tu, kama kwenye michezo.
Kama Dibanj na Don Jazz pia hata Diamond alionesha umoja na ushirikiano alipopatana na Producer wake wa kwanza Bob Junior pia na Kusolve tatzo lake na Manek. Pia msanii akienda international sana unavyofikiria ww kama Dbanj alivyopata management ya Kanye West GoodMusic ilimpa jina kwa mda mfupi na ikamtupa wakat alishaanza kuConcentrate na Soko la nje. Thn kilichofata mziki wake ulishuka coz alikua anatoa nyimbo nigeria wanasema hz not Nigeria now wanigeria walimdiss sana Dbanj thn akarud nigeria kwa DonJazz nw thy r cool. Haina haja ya msanii wa Africa kuhitaj sana kujulikana American au Europe na wazungu cc tu inatosha labda wapende hvo hvo no need of international management wala nini. Kuhusu kusema cdhani kama Mondi ashawah kusema kitu cha kuaibisha Taifa zaid ya kulipaisha tu.