Hohohooooo ( devil's laughter ), hujambo kwanza mcute?
Hongereni timu davido (kiba&wema) kwa kupata tuzo!
Hizo zilikuwa tuzo za MTVMAMA na zote zinaheshima sawa,
Tuzo ya Best live ni tuzo anayepewa msanii ambaye ni multitalented, kama ulikuwa hujui (japo najua unajua).
Ina vigezo vingi vya kuangalia ikiwa pamoja na ni kiasi gani unaweza kutawala jukwaa, kuimba huku ukicheza, kuwasherehesha mashabiki, wanaangalia umefanya show ngapi, wapi? (Katika matukio gani? )
Kusema ni tuzo isiyo na heshima ni kuleta excuses tu za kutokukubaliana na fact kwamba Diamond ndo kaichukua na kujiweka katika comfort zone !
Ingekuwa kigezo ni kunengua Super Nyamwela asingekosekana kwenye nomination hahahaaaaa!
Hahahaaaaa (cute b voice )
Sijambo mamie wangu...
Mamy ilo naelewa mbonaa.... sio kila linalobishwa basi ndivyo ilivyo mamie.
Kila category aliyopo dai he deserve na ndo maana kawekwa (hahahaaa kama vile naona wanafiki wanavyo fyonza ) ila ndo ivyo anastahili sana sema ndo ivyo kura tuu zime pungua sijui nini ala najua alistahili.
But kwa kuwa nilianza kunyweshwa ndimu nikaona kama mbwai iwe mbwai baridaaa...
Ila kwa mtu anayejua ata wakisema hajui haiumizi wala haimshushi chochote but fools ndio watakao argue na ndo nilitaka wa panic. Kwani mamie wewe si ke? Ukiambiwa wew ni me na unajijua ni ke utaumia nini? Ukiumia na kupanic maana yake huamin jinsia yako....
Hongereni kwa kupiga kura binti kiziwi.
ANASTAHILI KUPATA TUZO ZOTE TATU ILA SIO MBAYA KAMA KAPATA MOJA (keep on voting)
#wanafikiwanajuanimesurrendahahahaaaaa
Last edited by a moderator: