Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Hahahaaa nimepitwa uwiiiiiiiii kumbe mambo matamu hivyo? Romy ndo kajibu hivyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Hahaja Romi kaua kwa hyo caption duuh nimecheka mbaya. Walipokua wanasapport nje na malay▲ wenzake kumshusha mondi sasa aibu kwao haha
 
kuna habari hii imezagaa kwamba walikamatwa na polisi wa afrika kusini kwa kubeba vitu walivyovitilia mashaka.Walihojiwa na baadae kuachiwa,je hili ni kweli? kama ni kweli tunaelekea kubaya kama taifa

We team Kiba bila shaka
 
Kwani huyo kidoti analia lia nini? Akae tu ajue ye ni mnafiki nambari moja, mkipewa za uso mnajifanya wanyongeeee Pyeeeeeeeeee, kujifanya victim tu msyuuuuuuuuu. Kwanza uache kumtukana chibu kwa ile account yako fekero ya insta, uzuri Ushemeji huwa hauishi ulitegemea kama huyo rafiki ako mloshirikiana nae kufungua account fekero hatatufikishia? ???
Eti umeaibishwa! Nani kakuaibisha kama sio wewe mwenyewe?
Mchawi ni mchawi tu either anakuja kwa sura yake or sura ya paka! Unajifanya ume move on wakati kila siku unamdhalilisha Diamond na Zari kwa account yako fake. Acha unafiki Period!

Nimeshangaa leo anajifanya mnyonge wakati siku ile alijidai bingwaa na nguvu nyingiii leo analialia
 
Nimeshangaa leo anajifanya mnyonge wakati siku ile alijidai bingwaa na nguvu nyingiii leo analialia

Hahahaaa nimecheka Romy alivyojibu jamani! Eti huyo kidoti anamuuliza Babu tale hadi wewe? Kwani Vepeeee ye alitakaje? Afanye unafiki afu tumchekee au? Hapa za Uso tu kwa kwenda mbele ukimind tembea uchi kama Shardcole.
 
Last edited by a moderator:
acha habari za kuhisi kijana! unakuja kuuliza ukweli jf.?!!!
kwa nini usiulize kwa aliyekuambia!

nimehakikishiwa na mtanzania aliyekuwa hotelini hapo,walifatwa na gari la polisi wakakaa masaa baadae wakaachiwa
 
sasa unadhani kuna mganga anayeweza kuloga afrika nzima impigie kura Diamond!
kweli mimi mshabiki wa Alikiba lakini pia siwezi amini katika ushirikina. halafu huyo anayekuambiaalikuwa hotelini hapo anaujua ukweli muulize ilikuwaje aende hoteli hiyo na muda huo ndo polisi waje kukamata waganga. na alijuaje kama ni waganga hao.
 
About time Diamond akabidhiwe kwa management ya kimataifa au yenye upeo huo itakayompeleka mbele zaidi, kwasababu hao jamaa alionao ni wazi uwezo wao umefika mwisho, na wamejitahidi sana, so big-up kwao.

Diamond ni brand sasa, na ni Icon ya taifa, but he still conducts himself like a hoodrat he is, cuz he's surrounded by the likes. Jamaa anatakiwa kuwa na PR team itakayo-monitor chochote anachosema popote, kwa maslahi yake na ya taifa kwa ujumla. Cuz let's face it, you can change a wardrobe but not the man under the clothes. Hizi drama na vitu zake za zamani sio level yake kwa sasa, na zinamshushia heshima.

Jana Nigerians wameonyesha jinsi walivyo wamoja na wakomavu, D'Banj licha ya tofauti walizokuwa nazo na Don Jazzy, aliutambua mchango wake bado. Hawa jamaa wanaelekea sayari nyingine kimuziki kwa sababu wana umoja. Wasanii wakishaonyesha umoja, hata mashabiki wao wataungana pia. Tusipochukua hatua za haraka, muda si mrefu tutabaki kuwa watazamaji tu, kama kwenye michezo.
 
Back
Top Bottom