LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Ni muda muafaka kuwasikiliza wanasiasa siku ya mwisho watanzania ndio wataamua wa kuwachagua
 
Ina maana kwamba ccm hawawezi kuitisha mkutano bila kutumia wasanii?, kwanini wasiwe kama wana peoples pooooooooooooower. Kuna rafiki yangu ameniambia watu wamesombwa kutoka kila kona ya moro kufunika aibu. Ama kweli ccm wanapumulia mashine.
 
Usipatwe na wasiwasi. Tatizo la CCM siyo pesa bali ni matumizi.

Aunt Swali limekuuma kumbe na we ni wale wale wa kulipwa per post; karibu uwe personal assistant(ni pm nikupe mchongo wa kukuweka town, au nipitie soccer city hapa now nacheki gem ya liva na chelsea) katika bness zangu, i pay more than 7K per post unazolipwa.
 
CCM ni mbaya acha kulemba
  • Walimu wananyanyasika na wanadai zaidi ya bilioni 25...soma mwananchi la leo ukurasa wa 4 colum ya 4 paragrapg 5 utaona.
  • Polisi pesa zao za kwenda kufanya mauaji ya Mwandishi wa habari kule Nyororo mufindi walikuwa wanalalamika hawajalipwa.
  • Kutekwa kwa ulimboka wamekamata mtuhumiwa mkichaa na wakati wameambia wahusika wanatoka ikulu
  • Madaktari wanalia
  • Wagonjwa wanakosa vipimo vya CT scan muhimbili sana hospitali ndogondogo za wilaya inakuwaje
  • Ardhi ya wakulima na wafugaji wameichukua,,,....kumbuka hotuba ya Halima mdee bunge la mwaka juzi
  • Viwanda wamejiuzia
  • Nyumba za serikali wamewapa wake zao
  • Miradi wanajigawia
  • EPA wamekula
  • Richmondi @day mil 152 wamekula kwa miezi 22
  • Dowazi inadai fidia wapewe mafishadi.
  • Tembo wamewamaliza
  • Elimu wanajipatia Udokta bure bure wameshindwa uprofessor tu.
  • Wezi wanajiuzuru wasamalia wanaozea jela kwa kubambikizwa kesi.
  • Vyeo wanapeana kwa kujuana na sio weredi.
  • Wakurugenzi wanatuibia sana na wanahamishwa vituo.

Jamani kama macho yenu hayaoni si hata mnuse na kama hamuwezi kunusa basi na mpapase

Haya ni kwauchache tu,ulitaka waambiwe nani wakati ccm ndio wanaofanya haya na ndio wanaongoza inchi hii tangu uhuru????? :yo:
 



.
Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano huo
http://4.bp.blogspot.com/-orBYkDLQs...nc/s1600/3.UMATI+UKIWA+UMEFURIKA+UWANJANI.jpg
Maelfu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa CCM uliofanyika mkoani Morogoro jioni hii

Msanii Nasibu Abdul 'Diamond' akibebwa na wasanii wake kukoleza, alipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika mjini Morogoro leo jioni

Diamond akitumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro

Msanii Lina akitumbuiza kwenye mkutano huo
http://2.bp.blogspot.com/-qfr4wLdlgq8/UXPt0eiFaaI/AAAAAAAAaSk/PvQZnbcHHBk/s1600/DSC_4944.JPG







CCM kwisha kazi Bila wasanii hapa wangeambulia Aibu ya Karine ya 21 ni aibu kwa Chama chenye Miaka 50 kufanya mkutano kwa hisani ya wasanii
 
Kwenye huo mkutano CHADEMA itatamkwa mara 200 huku Ccm ikitamkwa mara 50

mkuu kama umekuwepo maana nimewasikiliza kupitia abood fm unachokisema ndo ukweli mpaka wanachama wao wenyewe wameshangaa kuwa is it a ruling party? Or oppossing party! Hakuna lolote la maana alilolisema huyu mzee wa miaka zaid ya 50 , ivi kweli ccm imeishiwa watu wa kunadi chama kiasi hicho mpaka wamekuwa wakisimulia harakati za cdm????????
 
Wananchi ninyi ni mahodari kwny kazi,serikali haitoi ajira kwa kila mtu,tuwarahisishie watu fursa..wana morogoro mnamshikamano,mna umoja na nawahakikishia ccm ni chama madhubuti na kina viongozi mahiri, tulichoahidi tutatimiza.
 
ccm ni chama kilichokataliwa duniani na mbinguni
 
Watu wanaletwa kwa magari mkutanoni.vivutio sio sera tena bali chege na diamond!! Hata kama kukiwa na watu wengi siwezi shangaa diamond peke yake anaweza kuujaza uwanja bila kutamka jina la ccm!!ccm mwisho umekaribia...kumbukeni siku ya kupiga kura diamond hata kuwepo!!
 
CCM inakwenda nyumba hadi nyumba, mtaa hadi mtaa, kijiji hadi kijiji, kata, tarafa, wilaya na tunamalizia mkoani.

Katibu mkuu alikuwa anakagua uhai wa chama. Usiweweseke. Hii ni CCM.

98% ya viongozi wa opposition wametoka CCM. Toka lini mtoto akawa mkubwa kwa wazazi wake.

Yaani mishipa kukutoka kiasi hicho point zanyewe ndio hizi. Kwa hiyo ulitegemea viongozi kutoka upinzani waibuke tu kama uyoga wa msimu porini? Naona ngoja niachane na wewe, mtu mwenyewe hata unacho bishania hukijui. Eti viongozi wa upinzani walitokea CCM. Kwa hiyo?
 
Chadema wakubali nchi hii tuko wengi sio chadema peke yao, waache kiburi, wamedekezwa mda mrefu, wanatukana kila mtu, wakubali kulikuwa na watu kabla yao na wao wataondoka tu
Hata CCM ikae ikijua ipo siku itaondoka tu. Wananchi tumeshaichoka na siasa zake za majitaka. Kaondoka Ghadaf na Mubarak sembuse CCM. Haina hati miliki ya kutawala Tz. Waipige vijembe Chadema lakini mwisho wajue wananchi tunataka mabadiliko yawe ya kheri au ya shali.Tumechokaa! na utawala huohuo tu miaka yote. Mabadiliko ni lazima ili tujue upande wapili una nini hata kama utaleta mchafuko, nayo ni mabadiliko.
 
Aunt Swali limekuuma kumbe na we ni wale wale wa kulipwa per post; karibu uwe personal assistant(ni pm nikupe mchongo wa kukuweka town, au nipitie soccer city hapa now nacheki gem ya liva na chelsea) katika bness zangu, i pay more than 7K per post unazolipwa.
Mawazo yako yanafanana na mawazo ya ki-BAVICHA BAVICHA. Hujalielewa somo. Nimekwambia watu wanaishi kwa interest za investment zao. Mpira tunaangalia kwenye home cinema room. Kwa fikra zako unafikiri kila mtu anaenda kuangalia mpira kwenye Television za kulipia kinywaji.

Kuendelea kuwa kwenye hii thread huna jinsi bali kuumeza ukweli.

CCM hatuishi kwa uongo na uzandiki na kifuatilia fuatilia watu JF.

Ninakutahadharisha kuendelea kufanya hivyo utakuja pata matatizo bure.

Just be yourself and mind your own business.
 
Kinana anasema kunaviongozi
wa cdm wamekaa madarakani mda mrefu wakihojiwa na wenzao wanadai
anayehoji katumwa na ccm.

mbona yeye hajisemi? kwa umri alionao kinana hawezi kuhimili vishndo vya siasa za wakati huu
 
Yaani mishipa kukutoka kiasi hicho point zanyewe ndio hizi. Kwa hiyo ulitegemea viongozi kutoka upinzani waibuke tu kama uyoga wa msimu porini? Naona ngoja niachane na wewe, mtu mwenyewe hata unacho bishania hukijui. Eti viongozi wa upinzani walitokea CCM. Kwa hiyo?
Kwa hiyo siasa wamejifunzia CCM na kwa maana hiyo, hawawezi kuwa zaidi ya CCM.

Unaweza kuumeza ukweli au kuutema. The choice is yours.
 
Mkutano umefana sana wanachama wapya wamepatikana 2015 ushindi km kumsukuma mlevii
 
Mi si mshabiki sana wa siasa, ila mkuu UNATISHA:
Umejiunga JF APRI 8 (SIKU 13 ZILIZOPITA) hadi leo una post 732( WASTANI WA POST 56 KILA SIKU) zaid hata ya watu waliojiunga mwaka mmoja uliopita. Mkuu nijibu mawali yangu mawili tu
1. HUNA KAZI YA KUFANYA HAPA MJINI ZAIDI YA KUSHINDA JF NA KUPOST SIKU NZIMA?
2. UNALIPWA KWA KILA POST UNATUPIA JAMVINI?
3.JF MODS WAMEKOSEA IDADI YA POST ZAKO?


KWA KWELI NIMESHANGAZWA SANA WANA JF

kaka usjiulize sana hawa ndo wapiga deki nyumba za nape na kinana, bada ya watoto wao kupelekwa BOT hawa walisha mbwa ndio wanaletwa JF kwa ujira wa 7000 kwa siku
 
Back
Top Bottom