LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Mabasi ya abood yameonekana yakisomba watu sehemu mbalimbali ikiwemo Chuo cha ualimu morogoro ili kujaza umati wa watu....Aibu yaaoooooo
 
Wana ccm tembeeni kifua mbele, kataeni vurugu
jjibu maswali uliyoulizwa na RICH OIL SHEIKH siyo kujaza upuuzi humu m2 mwenyewe umejiunga jamvini eti tarehe 8/4/2013 unapost 730 naaa. kama hujatumwa kwa kazi hii nini unatafuta je huna kazi ya kufanya Rich kakuuliza unapata wapi muda wakuposti post zaidi ya 56 kwa siku kwa akili ya haraka haraka inaonekana unapewa ujira kwa kazi hii.Ni mtu wa kwanza kuwa na post nyingi na za ajabu kwa muda mfupi wenzako wenye akilihuwa wanajaribu kuwa wajanja wanakuwa na interval sasa namuona hata lukosi kumbe ana akili kuliko weye:rockon:
 
Ni rahisi sana kubaini kuwa wengi wanohudhuria mikutano ya CCM ni wanaCCM zaidi kuliko watu wengine wasio wanachama, kwani idadi kubwa ya watu waliopo kwenye mikutano wamevaa sare za njano na kijani. Ni wazi kuwa hao watu wameandaliwa au wamejiandaa kwenda kuhudhuria ili ionekane kuwa watu wamejaa. Mtu asiye na sare anaweza kujihisi kuwa mkutano haumhusu na akakaa kando kabisa au asisogee kabisa. Jirekebisheni kuna kasoro hapo. Siaminikuwa mna utajiri wa fulana na kofia kiasi cha kugawa kwa kila mtu, kila wakati!! Jirekebisheni tupate nafasi nzuri ya kuwapima na kuwalinganisha na wenzenu kama nia yenu ni kushindana kwa umati!
 
Katibu mkuu wa CCM A.KINANA leo amehutubia mkutano wa hadhara huku akiwaambia wananchi kuwapuuza viongozi waCDM

.Umati mkubwa wahudhuria huku wakiwa na nyuso za tabasamu na imani kubwa kwa KINANA. KINANA awaambia kupuuza kauli viongozi wa CDM kwani wanaweweseka na uroho wa madaraka

.Mchakato wa katiba unaenda vizuri, CDM ni vigeugeu walidai kama wangepata nafasi ya kushika dora wangebadilisha katiba ndani ya siku 100 huku wakisaau kuwa katiba ni ya watanzania na sio ya CDM kwani siku 100 tu hutawezaje kuwafikia watanzania ukapata mawazo yao

.Watanzania waaswa kutotumika vibaya kwa wanasiasa kama kushiriki migomo, fujo na machafuko kwani haina tija kwa taifa letu kwani viongozi wa CDM wanataka kutawala kwa mabavu huku wakidai nguvu ya umma wakati nguvu ya umma ipo kwenye sanduku la kupigia kura

.Mboye anachochea migomo ya vyuo vikuu wakati yeye alipata ZERO kidato sita kwa hiyo haoni umuhimu wa elimu ya chuo kikuu, nae MNYIKA kumbe alidisco UDSM ila yuko msitari wa mbele kwa migomo ya vyuo vikuu ili tupate taifa la wajinga

Peter Msigwa's photos | Facebook
 
ccm wanahitaji rudi tafuta gamba ingine.kinana hana mvuto wala ushawishi zaidi ya kutia huruma.

Hotuba zake zaidi zaidi zinaonekana kuwa umbea zaidi ya kitu chenye maana.

Magamba wanahitaji rudi dodoma kutengeneza mkutano mwingine unaofafanana na shamba la aliyeti kwa rangi ya kijani na njano.

Sijui wamemaliza reserve.

mkuu katika hili napingana na wewe kinana ni noma speech yake ni kali na ameumbua mambo mengi sana tuache uongo jamaa kaongea mambo ya msingi.
 
Katibu mkuu wa CCM A.KINANA leo amehutubia mkutano wa hadhara huku akiwaambia wananchi kuwapuuza viongozi waCDM

.Umati mkubwa wahudhuria huku wakiwa na nyuso za tabasamu na imani kubwa kwa KINANA. KINANA awaambia kupuuza kauli viongozi wa CDM kwani wanaweweseka na uroho wa madaraka

.Mchakato wa katiba unaenda vizuri, CDM ni vigeugeu walidai kama wangepata nafasi ya kushika dora wangebadilisha katiba ndani ya siku 100 huku wakisaau kuwa katiba ni ya watanzania na sio ya CDM kwani siku 100 tu hutawezaje kuwafikia watanzania ukapata mawazo yao

.Watanzania waaswa kutotumika vibaya kwa wanasiasa kama kushiriki migomo, fujo na machafuko kwani haina tija kwa taifa letu kwani viongozi wa CDM wanataka kutawala kwa mabavu huku wakidai nguvu ya umma wakati nguvu ya umma ipo kwenye sanduku la kupigia kura

.Mboye anachochea migomo ya vyuo vikuu wakati yeye alipata ZERO kidato sita kwa hiyo haoni umuhimu wa elimu ya chuo kikuu, nae MNYIKA kumbe alidisco UDSM ila yuko msitari wa mbele kwa migomo ya vyuo vikuu ili tupate taifa la wajinga

Umejiuliza ni kwanini watu wachache sana wamechangia huu uzi wako? .....hebu jifunze kwanza Kiswahili fasaha halafu uje utoe upya mada yako!
 
moro na mikumi sio mbali,nawaomba muweke ulinzi imara kuwanusuru TEMBO!

mwe,unafikiri tembo wako Mikumi?tangu jamaa aingie tembo walianza kulia na kukimbia sana.nasikia kuna tembo wengi wameonekana maeneo ya Tunduma wanavuka mpaka!
 
siasa zitabaki kuwa siasa na ukweli utabaki kuwa ukweli watanzania ndiyo waamuzi wa nani anapaswa kuwaongoza.
 
wanaotumika watumike na sisi tutaendelea kupigania haki za taifa watu wanapigana bungeni halafu mtu mwingine anatetea uovu u wapi uzalendo.
 
Mkuu MAUMA naona unaumana,huku watu walishamaliza zamani mno.Lakini umejitahidi ili usikose hako ka-posho
 
Watu wanaletwa kwa magari mkutanoni.vivutio sio sera tena bali chege na diamond!! Hata kama kukiwa na watu wengi siwezi shangaa diamond peke yake anaweza kuujaza uwanja bila kutamka jina la ccm!!ccm mwisho umekaribia...kumbukeni siku ya kupiga kura diamond hata kuwepo!!
umesema kweli mkuu magari yamebeba watu mpaka Matombo,Mikese na Mgeta tumewaona kwa macho
 
kaka usjiulize sana hawa ndo wapiga deki nyumba za nape na kinana, bada ya watoto wao kupelekwa BOT hawa walisha mbwa ndio wanaletwa JF kwa ujira wa 7000 kwa siku

mkuu hapa jf ni jukwaa la kutoa elimu ili watanzania wajue mbichi na mbivu lakini ukianza kutukana haisadii jaziba za nini sasa.
 
CCM kwisha kazi Bila wasanii
hapa wangeambulia Aibu ya Karine ya 21 ni aibu kwa Chama chenye Miaka
50 kufanya mkutano kwa hisani ya wasanii
[/CENTER]

na wale mliowapeleka kenya kumsaidia odinga wakarudi vumbi tu? tatizo chadema wasanii wenu mbwa kachoka
 
Hii ni ngoma nyingine. Endelea na kupiga vumbi la sinza. Dude.

Duh unajisifu kupiga box? hayo mambo yashapitwa na wakati, wajanja tulitusua hukuhuku bongo kula bata kila sehem, huko huja kwa bness trip na kurudi. WE WA WAPI UNAJISIFU KUPIGA BOX DUNIA HII YA LEO???
 
Katibu mkuu wa ccm a.k.a mzee tembo mwanzo mwisho hotuba yake ni chadema tu,naona ukichukua statistics chadema imepewa promo ya bure leo kuliko ccm.magazeti ya kesho dimond plutnum afunika morogoro.
 
Hao mabongofleva wasipopata hela mwaka huu basi tena, kwani hiki ndiyo kipindi chao. 2015 hakutakuwa na ujinga huo. Lakini pia wanatusaidia, sababu akina -Kinana mziki utabaki kuzunguka akilini mwao na kubaki wanajifariji
 
mkuu katika hili napingana na wewe kinana ni noma speech yake ni kali na ameumbua mambo mengi sana tuache uongo jamaa kaongea mambo ya msingi.

Kwamba kapata sokozuri la menoya tembo ataongea na mwenyekitiwake ampe ndege msione tena!
 
Duh unajisifu kupiga box? hayo mambo yashapitwa na wakati, wajanja tulitusua hukuhuku bongo kula bata kila sehem, huko huja kwa bness trip na kurudi. WE WA WAPI UNAJISIFU KUPIGA BOX DUNIA HII YA LEO???
Ndiyo maana nikasema unafikiria ki-BAVICHA BAVICHA. kwa fikra zako tunaposea kupiga box unafikiri ni kupiga kweli box.

Welcome to London.
 
Back
Top Bottom