LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Katibu wa ccm mkoa wa moro sixtus mapunda anasema watu 4300 wamejiunga na ccm ktk ziara ya kinana mkoani moro
 
Kinana amekagua barabara mbalimbali zinazoendelea kujengwa kuunganisha mkoa wa moro na mikoa mingine
 
Tumewasomba wanachama wa CHADMA kama 700 na ushee!tukitoka hapa kanda ya kati!CHADMA hawana chao
 
waacheni CCM watimize majukumu yao , mnawashwa nn?kwani nyie mikutano yenu c imeejaa matusi kwa viongozi wa kitaifa?
 
Kinana ameweza kutatua kero ya mda mrefu ya wakulima wa miwa ktk kiwanda cha sukari mtibwa
 
Katibu wa ccm mkoa wa moro
sixtus mapunda anasema watu 4300 wamejiunga na ccm ktk ziara ya kinana
mkoani moro

huo ni uongo hakupata hata mwanachama 1,kila wanapotoa salamu wanatajwa chadema.
 
Tumekagua barabara na kutatua kero za Wakulima wa miwa,ahadi za JK zimetimizwa 95%...
 
wakuu naomba Kuuliza Mkutano ni wa CHADEMA? Make mpaka sasa CHDEMA isha tajwa mara 100
 
Nimeipenda hii kauli "DOMOKRASIA na DEMOKRASIA"
 
Fikiri kafungua mkutano sijui tayari ameshataja CHADEMA mara 8.
Naendelea kuchukua takwimu ili nithibitishe mdau mmoja alichosema hapo juu.
 
CHADEMA walileta wakufunz toka Ujerumani!kasema Mwenyekit ktk bashirafu!kudadadadek mpaka muhame nchi CHADEMA..Kitu live TBC TV na Radio! CHADEMA wapo Mwanza tu,sio tupo Moro lakn Tanzania nzima via TBC na CHADEMA wanatutazama na kutuangalia..CCM OYEEEEEE..MUUNGANO OYEEEE
 
Washakua chama pinzani hao baada ya kuzungumzia maendeleo wanazungumzia chadema
 
Back
Top Bottom