LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Mkutano wa magamba unaonywesha live TBC. Ninaona badala ya kueleza wananchi wamefanya mini wanawaburudisha na vikundi vya wanamziki ili kupoteza miss.
 
Asante kaka , tunafuatilia , kati ya maneno 100 , 90 yatahusu CHADEMA , 10 yatahusu uongo , 0 yatahusu maendeleo ! ( Kutoka kinywani mwa Nape )
 
Tumeanza na wasanii kwanza ili tuvute watu baadae ndo tunaanza hotuba.
Wanaume family kwa jukwaaa.
 
Namuona Kinana pale naona kutakuwa na mabomu leo wanataka kutupa ndiyo maana wameamua kwenda live
 
Tayari 10ml imeshaondoka kwa Diamond maana show yake moja ni karibu ni Tshs 10ml. Hii ni neema kwa wasanii.
 
Naangalia wasanii tu wakimaliza kutumbuiza nazima tv! Asante ccm show ya bure!
 
Eebwanaa nimelikosa gar la abud la kizaman lilileta abiria naona andale linaingia na
 
Naona mabasi ya Abood leo yameingia vijijini kusomba watu,Nasikia ROMA MKATOLIKI amealikwa.
 
CCM Kwa sababu hawana cha Kuongea ndo Maana wanatumia wasanii wavute muda na Baadae ndo waanze kuponda CHADEMA, Make hapo Agenda ni CHADEMA na hwadhubutu kuulizia ni lini Viwanda vya Morogoro Vitafufuliwa
 
Back
Top Bottom