Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,047
- 134,349
Utoaji wako wa 0713 umekusababishia unaongea ki-kamerun Kamerun tu...
CCM wanawatia ACT ndo maana mnawatetea mabwana zenu
Utoaji wako wa 0713 umekusababishia unaongea ki-kamerun Kamerun tu...
Kwani hayo maswali yanayoulizwa sasa! Wananchi wakiwa hawakubali rasimu si watapijia NO; na wakikubaliana na content si watasema Yes. Woga wa nini?
Kusema 'Nyerere alizoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi' kwa mwasisi wa taifa aliyekua na hadhi ya uadilifu kimataifa kwa wengi ilikua tusi. Hayo maneno tundu anaendelea nayo.haa haa, mkuu weka moja ya tusi ambalo lissu alimtukana mwasisi mkuu, maana nyinyi mnabeba maneno kama yalivyo ilimradi yamesemwa na jk au ccm pole sana mkuu!
wana CCM wanaotaka kuwania urais wajiandae kupambana kisawasawa na Wasira kimdahalo!!
wana CCM wanaotaka kuwania urais wajiandae kupambana kisawasawa na Wasira kimdahalo!!
Ni mdahalo wa ubungo plaza ulioudhuriwa na Vijana wengi sana na pia ulikuwa live itv. Baada ya mada kubwa ni nani anayekwamisha mchakato wa katiba MPYA na kupelekea watanzania kutosa KATIBA MPYA . Vyama vyote vitatu vilishiriki CCM,CUF na CHADEMA . Mhe Wasira aliwazidi wenzake HOJA na uwezo katika kujibu maswali Kama alivyo ulizwa. HAKIKA UKAWA ya pata kipigo cha Wasira wakimbilia kafanya fujo Kama kawaida Yao.... Wasira kinara wa UKAWA .
Are you a Great thinker!Wasira ameshinda vipi?Mahali nilipokuwa na watch na watazamaji wengine,Wasira kashindwa vibaya.Take from me.
Hivi wewe unajua kwamba kuna Mungu? Lol!.
Uwongo wote wa kijinga hapa wa nini?. Sote tumeona. Kumbe ndiyo kawaida yenu ccm kupindua mambo. Wasira kapelekeshwa hadi kaishia kujiuma uma bila hoja na kusema wataenda bungeni sasa kuangalia potential challenges za serikali tatu na mbili. kaloa kama nini na ku end up kuwa mkali bila hoja. Nani hakuona?
Kama wewe huthamini utu wako, basi kumbuka maisha ya vizazi vyako vijavyo na umwogope Mungu. Hizo elfu saba saba hazitakutetea mbele za Mungu!. Usijisahau ukadhani utaishi milele. Ufahamu iko hukumu mbele yako kwa uwongo huu wa makusudi unaoufanya.
Kweli ccm hamna haya!. Lol!.
Wewe umesoma kweli? Au umehudhuria tuu shule? Au ndio nyie wa hizi divisheni mnaita five? Unapaswa kuhurumiwa kwa kushindwa kuchambua hata kile ulichokiona kwa macho.ili kuhakikisha kuwa Wassira kashinda, ITV walipofanya summary ya mdahalo huo wamenukuu manenoo ya Wassira ya kuwataka UKAWA kurejea bungeni kujadili Rasimu ya Katiba na si kupiga kelele Kibanda Maiti au Ubungo Plaza