Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

ni mdahalo wa ubungo plaza ulioudhuriwa na vijana wengi sana na pia ulikuwa live itv. Baada ya mada kubwa ni nani anayekwamisha mchakato wa katiba mpya na kupelekea watanzania kutosa katiba mpya . Vyama vyote vitatu vilishiriki ccm,cuf na chadema . Mhe wasira aliwazidi wenzake hoja na uwezo katika kujibu maswali kama alivyo ulizwa. Hakika ukawa ya pata kipigo cha wasira wakimbilia kafanya fujo kama kawaida yao.... Wasira kinara wa ukawa .
umevurugwa weyeee
 
Wassira kawafanya vibaya hawa misukule, nchi imeona pongezi kwa Tyson

Wew ndo msukule wakutupa hata ukiombewa huponi. Wasira jana alilowa hadi kwenye ------ alivyobwana hana pakutokea anaanza vijembe kama kawaida yenu. Ila sio mbaya mnamfariji humu jf mana huwa anapitiamo. Bora kama hatukuona live tukashuhudia
 
Ni mdahalo wa ubungo plaza ulioudhuriwa na Vijana wengi sana na pia ulikuwa live itv. Baada ya mada kubwa ni nani anayekwamisha mchakato wa katiba MPYA na kupelekea watanzania kutosa KATIBA MPYA . Vyama vyote vitatu vilishiriki CCM,CUF na CHADEMA . Mhe Wasira aliwazidi wenzake HOJA na uwezo katika kujibu maswali Kama alivyo ulizwa. HAKIKA UKAWA ya pata kipigo cha Wasira wakimbilia kafanya fujo Kama kawaida Yao.... Wasira kinara wa UKAWA .

Hakika mkuu,wasira aliwachachafya sana wale wabwana
 
Watu wengi wenye akili Wanatambua kuwa UKAWA ni maigizo YANI kiinimacho. Wasira unastahili pongezi sana.
 
Mwenye uzi ungekuja kuhitimisha: Wassira alitokea na akasema muandike amekuja, Hoja za Lipumba na Lissu zilishangiliwa sana na Wassira alizomewa zaidi. Polepole na Awadhi waliongea bmwishoni sana tena wakalaumu kupewa nafasi ndogo wakati wanasiasa waliongea na kupotosha Rasmu ya Katiba Mpya kwa muda mrefu...
 
aiseee vitu vingine vinachekesha sana kweli tunakoenda sio, mdahalo nimeuangalia mpaka nukta kumalizia na maneno ya yoyote huku ajibu kwa nini rasimu ya katiba ya wananchi iliyotumia hela zetu kuandaliwa na kikwete kuruhusu ijadiliwe bungeni wana CCM wenyewe polewanaikataaa? Y isikuamua 3 AU 2 nini kinawaogopesha kuhusu hilo, acheni mawazo mgando vijana wa kijani fikirieni kwa manufaa yetu gandeni na wazee wakati dunia inaenda kwenye technologia ya kidigitali kama hamjaachwa ------ wazi muda sio mrefu.

polen xn hujui ht utaratibu wakupata katiba mpyaaaaaa .wanaukawa tatzo weng hawakwenda shule we unahc rasimu kwa nn inabd ipite bungen c ili ijadiliwe na maana ya kujadil n yap achen mbwembwe zczo na maaana
 
Wassira anasema kuwa Wajumbe wote wa Tanzania Bara ni 412. Basda ya wabunge wa ukawa kutoka, waliobaki ni 346. Wajumbe wanaotakiwa ili kufanya Theluthi Mbili kwa wabunge wa Bara ni 275. Kwa hali hiyo, wajumbe waliobaki bungeni wanafanya akidi. Kwa upande wa Zanzibar anasema kuwa wajumbe wote ni 271. Baada ya UKAWA kuondoka waliobaki ni 148. Theluthi mbili inayotakiwa ni 145. Hivyo Akidi itapatikana. Huo ndo ukweli mchungu japo unawauma UKAWA.

Songoro,
Inaonekana unasema wenzako kwamba wanaakili za kushikiwa au misukule lakini nawe umo!

2/3 ya 412 au 271 ni ngapi? Hesabu ulipata daraja gani au hata hukufika?

Akidi haipatikani kwa idadi ya wajumbe waliobakia tu, lazima iwe idadi ya wale waliobaki gawa kwa idadi ya wajumbe wote waliostahili na uchukulie kuwa wote wamekubaliana, kama kutatokea watakao pinga hapo pia mahesabu yanabadilika!

Kwa takwimu zenu hapo juu upande wa Bara akidi inaweza kufika kama wote watakubali lakini upande wa Zanzibar wajumbe waliobaki hawafiki hata 55% ya wajumbe wote kutoka Zanzibar, Zanzibar 2/3 ya 271 SIYO 145!

Na sheria inasema ili katiba ipite lazima ipate 2/3 au zaidi ya wajumbe wote wa Tanganyika (kumbuka katika historia ya nchi hii HAKUNA nchi iliyowahi kuitwa "Tanzania Bara"!) na 2/3 ya wajumbe wote kutoka Zanzibar! Upooooooo???

Wenzetu Zanzibar ni wachache lakini wanajitambua, Mibara bado tunalamba MIKAMASI tu!
 
CCM na wapenzi wake ni sawa na wapenzi wa soka wa Brazil ambao pamoja na kupigwa 7-1 na Ujeremani bado ukiwaambia matokeo yale sio kweli bali Brazil ilishinda mataingia mtaani kishangilia.
 
tatizo la hii forum ni moja, asilimia kubwa ni wanachadema na kazi yao ni kupinga kila kinachokatiza mbele yao #poor_tz

Logic yako ya kijinga kabisa! Yaani kwamba wakati unajiregister walikuuliza chama ndo ukakubaliwa au? Hii ni free registration forum kuwa wengi ni chadema huo ni ushahidi tu kuwa hata katika mazingira ya kawaida chadema ni wengi.
 
Kweli CCM ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha CCM mmoja apambane na UKAWA wawili ,eti jamani si mmeona kwenye ITV 2:1.

Wasira alipambana na Lipumba akiwa Lisu ,ikimaanisha kwa kila CCM mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?

AU tuseme akili ya CCM mmoja sawa na UKAWA wawili !
 
Una matatizo ya akili ama Swaumu kali hadi akili imesimama sheikh ....
 
kweli ccm ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha ccm mmoja apambane na ukawa wawili ,eti jamani si mmeona kwenye itv 2:1.

Wasira alipambana na lipumba akiwa lisu ,ikimaanisha kwa kila ccm mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?

Au tuseme akili ya ccm mmoja sawa na ukawa wawili !
chezea wasira wewe
 
kweli ccm ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha ccm mmoja apambane na ukawa wawili ,eti jamani si mmeona kwenye itv 2:1.

Wasira alipambana na lipumba akiwa lisu ,ikimaanisha kwa kila ccm mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?

Au tuseme akili ya ccm mmoja sawa na ukawa wawili !
ukawa walikuwa watatu, na mwendesha mdahalo
 
Kweli CCM ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha CCM mmoja apambane na UKAWA wawili ,eti jamani si mmeona kwenye ITV 2:1.

Wasira alipambana na Lipumba akiwa Lisu ,ikimaanisha kwa kila CCM mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?

AU tuseme akili ya CCM mmoja sawa na UKAWA wawili !

siyo wawili tu,yule kijana polepole na yule mwarabu koko wote ni ukawa,jamaa kapambana na mtu nne
 
Kweli CCM ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha CCM mmoja apambane na UKAWA wawili ,eti jamani si mmeona kwenye ITV 2:1.

Wasira alipambana na Lipumba akiwa Lisu ,ikimaanisha kwa kila CCM mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?

AU tuseme akili ya CCM mmoja sawa na UKAWA wawili !

Hujui kuwatoa manyani shambani kunahtaji nguvu ya pamoja,
 
Back
Top Bottom