KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Amewatoa kijasho ukawa! amesema waangalie faida na hasara za miundo ya serikali 2 au 3.
Wacra ameingia kanywa madawa yakulevya labda ana malaria.
Amewatoa kijasho ukawa! amesema waangalie faida na hasara za miundo ya serikali 2 au 3.
Wanywa viroba wa UKAWA wana piga kelele.
Asante tundu lissu...
Halafu mwanzo
waliaminishana kuwa wassira atawakimbia hawa mazezeta wa UKAWA. Mods wa
JF wafute ile topic na kumfungia yule member mzushi mara moja!
Mungu yupi huyo anayejiingiza kwenye siasa za kijinga?? Acha shiriki mbuzi maji wewe
Halafu mwanzo waliaminishana kuwa wassira atawakimbia hawa mazezeta wa UKAWA. Mods wa JF wafute ile topic na kumfungia yule member mzushi mara moja!
Mwisho wa mdahalo Wasira ameomba apatiwe diclopa maana panadol hazitaweza kumsaidia.
CCM nyang'anyang'a, ndembendembe...
hujui chochote pole sana
Alafu msidanganye watu nyinyi! Ukawa Ni wapotishaji. Huo Ni muungano wa kinafiki na haina Toka kwa watanzania msiwadanganye wangekuwa na nia nzuri na watanzania wasingetoka bungeni.
Na hadithi yetu imefikia mwisho....tuonane ktk toleo lijalo ndugu wadanganyika
Utakuwa miongoni mwa waliofaulu darasa la saba lakini hawajui kusoma wala kuandika...Alafu msidanganye watu nyinyi! Ukawa Ni wapotishaji. Huo Ni muungano wa kinafiki na haina Toka kwa watanzania msiwadanganye wangekuwa na nia nzuri na watanzania wasingetoka bungeni.
Wacra ameingia kanywa madawa yakulevya labda ana malaria.
Yamekuwa haya tena? Mbona mwanzo ilkuwa hivi? Uongo hauna marefu!Mwisho wa mdahalo Wasira ameomba apatiwe diclopa maana panadol hazitaweza kumsaidia.
Serikali Tatu haiepukiki...