Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Kweli CCM ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha CCM mmoja apambane na UKAWA wawili ,eti jamani si mmeona kwenye ITV 2:1.

Wasira alipambana na Lipumba akiwa Lisu ,ikimaanisha kwa kila CCM mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?

AU tuseme akili ya CCM mmoja sawa na UKAWA wawili !

Ni kweli kapambana lakini katolewa manundu; mara nyaraka za siri za CCM hazijui; mara kigoma sio representative sample kwa maoni ya katiba mpya; kumbe Wassira anafikiri Kigoma ni Congo sio Tanzania!! mara wapemba watakwenda wapi kwani hawana kwao, kwani nani kasema serikali 3 zifukuze Wapemba!; Rais ana haki ya kutoa maoni yake! wakati wa kipindi cha kutoa maoni alikuwa wapi kama sio mbinu chafu za kuvuruga mchakato wa katiba mpya!
Wassira kama Mwigulu eti Ukawa hawajasajiliwa lakini bado anawasihi warudi bungeni.

CCM wamwangukie Makamba alishawaonya wasihudhurie midahalo watatolewa manundu, wanajaribu kumkaidi sasa Mzee Wassira yamemkuta!
 
ni kweli jana wassira alichanyikiwa wangeongeza hata muda wa nusu saa tuu wassira lazima angezimia lakini aibu waliyoipata jana hawasahau kamwe mm nawaambia kila siku humu JF ccm hawa uwezo wa kushindana na chadema kwenye hoja hata siku moja jana ccm wamevuliwa nguo zote wamebaki uchi yaani ccm mnabaka maoni ya wananchi na kuingiza maoni ya ccm kwenye katiba mpya MUNGU atawahukumu wahuni wakubwa nyie subirini kiama chenu 2015
 
Wasira alizidiwa kiac akaanza kuwa mbabe.
wangeongeza muda angezimia yule mzee ccm hawana uwezo wa kushindana na chadema kwenye hoja hata siku moja ccm ni marehemu watarajiwa wamebaka maoni yetu wasubiri hukumu
 
Wasira hawakumtendea haki kwa kumuwekea watu zaidi ya2 waliokuwa wanawatetea wananchi huku yeye akiwa peke yake kuyatetea magamba.Alijitahidi kadri ya uwezo wake kuwatetea magamba alichokuwa ana ambulia ni kupigwa za uso mpaka alikuwa ana poteza mawimbi.
 
Mh Wasira hawezekani. Alipowabana wote wawili Lipumba na Tundu kwa kumwambia Lipumba kuwa unaandaika kwenye warsgha mambo ya maana kwenye warsha za watu thinker kuwa serikali 3 haziwezekani na mzigo na ukija kwa mburura huku unawaambia serikalli 3 zinawezekana maana yake nn. Lipumba karuka ruka na mburura yeyote aliyesikia ufafanuzi wa hoja hiyo aseme hapa. Kwa Lisu alimwambia ww ni mjumbe wa kamati ya Kanuni Bunge la Katiba ni mmoja wa waliotunga kanuni za Bunge hilo na moja ya Kanuni inasema Bunge lina mamlaka ya kujadiri, kubadiri na kuongeza jambo lolote kwenye rasmu ndugu yangu Tundu hata kwa ujanjawa kiwakili hakuthubutu kulijibia, sasa nyie mburura hamwoni kuwa Wasira ni jembe? Haya mburura mnayosema ni majungu na majungu yakiachwa yanaonekana si majungu.Wasira alifunika mtu 4 Rumors are carried by haters. spreads by fools and accepted idiot, Kwaheri mburura

Wewe acha kudanganya watu nanihajui maamuzi ya kupitisha kanuni kwenye kamati yanategemea wingi wa kura na kamati ile ilikuwa na magamba wengi kwa vyovyote vile magamba walikuwa hawakubali kupitisha kanuni inayowabana na kwa Lipumba karudia mara kadhaa jana kuhusu gharama za serikali tatu jana kasema mambo yaliyopo kwenye serikali tatu hata sasa yapo yanawekwatu wazi na gharama zake hata sasa zinagharamiwa na serikali ya Muungano,tueleze hapa wewe kilaza nani kafanya utafiti wa serikali tatu kuwa na gharama kubwa kuliko ya serikali mbili,ni maajabu yaliyopo sasa nchi ina maraisi watano kwenye serikali mbili,mawazili wa muungano 61 wapo wasio na wizara maalumu vihoja na viroja.
 
Kweli CCM ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha CCM mmoja apambane na UKAWA wawili ,eti jamani si mmeona kwenye ITV 2:1.

Wasira alipambana na Lipumba akiwa Lisu ,ikimaanisha kwa kila CCM mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?

AU tuseme akili ya CCM mmoja sawa na UKAWA wawili !

Hoja ipi ya wasira ilikuwa na mashiko pale.
 
Back
Top Bottom