Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

tatizo la hii forum ni moja, asilimia kubwa ni wanachadema na kazi yao ni kupinga kila kinachokatiza mbele yao #poor_tz
Kwani wanaCCM wamezuiwa? Nafikiri tatizo ni kukosa hoja kwa wanaCCM wenye akili
ndio maana hawataki kuingia huku na si huku tu midahalo mbalimbali huwa inaogopwa
na wanaCCM Ref.MCHAKATO MAJIMBONI-TBC
 
aiseee vitu vingine vinachekesha sana kweli tunakoenda sio, mdahalo nimeuangalia mpaka nukta kumalizia na maneno ya huyu sokwe sio kwamba ni kashinda pumba tu hajaongea la maana lolote zaidi ya kukasirika na kung'oa mimacho ka nyani kaona ndizi. mwana CCM yoyote huku ajibu kwa nini rasimu ya katiba ya wananchi iliyotumia hela zetu kuandaliwa na kikwete kuruhusu ijadiliwe bungeni wana CCM wenyewe wanaikataaa? Y isiruhusiwe wananchi tuje kuamua 3 AU 2 nini kinawaogopesha kuhusu hilo, acheni mawazo mgando vijana wa kijani fikirieni kwa manufaa yetu gandeni na wazee wakati dunia inaenda kwenye technologia ya kidigitali kama hamjaachwa ------ wazi muda sio mrefu.
 
Mleta mada unajua ulichoandika kweli?Au umesukumwa na nguvu ya ushabiki tu!!???
 
Nina mashaka na kiwango cha ufahamu wako. Kwa hiyo Mbowe ameacha mchakato wa Katiba? Kweli sijui ulisoma shule gani. Makali gani ya wasira? Hivi mbona ccm ina majuha hivi? Kwa nini unaogopa kumweka Mungu, sababu kubwa ni dhamira zanu zinawashitaki. Mwach Mungu awe Mungu. Eti makali ya wasira. yapi hayo? CCm hoyiiiiiiiii!

acha kumsingizia Mungu wewe kwenye mambo yenu ya kipuuzi. Ni makali ya Wassira ndiyo yaliyomfanya Mbowe kuachana na mchakato huu wa katiba na kutangaza kuwa chadema wapo tayari kusubiri miaka 25 ili kupata katiba bora
 
Hahahahaaha Tena hongera kwa Wasira kukubali kuja kwenye mdahalo katia moyo konde kweli cozi wanaCCM WANAOGOPA midahalo na ishafukuza mpaka mtu kazi hiii kisa wameona wabunge wao hawana kitu wanaenda bungeni kukusanyia tumboni
 
Kweli kwa swala la katiba kikwete kacheza karata mbovu alipaswa kuikataa yeye mwenyewe kabla ya bunge na ndo taratibu na kanuni zetu hata kwenye mambo ya mswada sasa nashangaa kupitisha kitu kikajadiliwe huku hajakiridhia yeye mwenywe sijui hapaa kamaanisha nini
 
Kwa sisi tulio kuwepo ukumbini naona kama unatania vile ............. manaa unazungumza vitu kinyume nyume. Halafu thread za namna hii kwa watu waliofuatilia mdahalo wa jana wa ITV wataona kama ni uwongo wa mchana kweupe ni inashusha hadi ya JF. NI ushauri tu
 
Hawa ndio wapumbavu waliomwagwa hapa na MACCM ili kupindisha ukweli wa kila jambo na pia kuvuruga mijadala muhimu. Tangu jana mara tu ya ule mdahalo threads nyingi za kipumbavu kama hii zimeanzishwa. Wanafuata amri waliyopewa toka Lumumba.

Kwa sisi tulio kuwepo ukumbini naona kama unatania vile ............. manaa unazungumza vitu kinyume nyume. Halafu thread za namna hii kwa watu waliofuatilia mdahalo wa jana wa ITV wataona kama ni uwongo wa mchana kweupe ni inashusha hadi ya JF. NI ushauri tu
 
Wassira kawafanya vibaya hawa misukule, nchi imeona pongezi kwa Tyson
 
Hawa ndio wapumbavu waliomwagwa hapa na MACCM ili kupindisha ukweli wa kila jambo na pia kuvuruga mijadala muhimu. Tangu jana mara tu ya ule mdahalo threads nyingi za kipumbavu kama hii zimeanzishwa. Wanafuata amri waliyopewa toka Lumumba.
Jaribuni kutazama jambo hili kwa jicho la haki, Wassira kawagalagaza ukawa.
 
Wassira kidogo akimbie Jana baada ya kubanwa na hoja za maana za ukawa,Humphrey ndiye aliyemmaliza kabisa ,lilibaki kujipindapinda kama sokwe aliyebanwa na mtego
 
Rasimu ya katiba iliandaliwa ya nini? Hawa CCM, walishakuwa na ya kwao. Sasa waandika katiba ya CCM kwa rasimu ya CCM, Wasitake kutumia rasimu ta Tume ya Warioba wakati wana ya kwao. Mwisho, wajue kabisa kama watakataa kutumia rasimu ya katiba, basi bunge hili ni haramu na lisimamishwe, rasimu iandikwe upya. Kuna mambo yasiyo ya muungano hayamo humo. Hivi na aliyevunja tume mapema alikuwa na ajenda gani, wakati akijua wazi kuwa kazi yake ya rasimu ya mambo yasiyo ya muungano haijamalizika? Nchi hii ni kichwa cha wendawazimu?
 
Wasira ni kiongozi siyo wa kupambanishwa na watu kama lisu na lipumba watu ambao wanafanya siasa za matukio pasipo malengo yoyote.
 
Back
Top Bottom