mleta mada niachie ukawa wa humu jf, nawapakata wote, mada hii hawachomokiuna matatizo ya akili ama swaumu kali hadi akili imesimama sheikh ....
mleta mada niachie ukawa wa humu jf, nawapakata wote, mada hii hawachomokiuna matatizo ya akili ama swaumu kali hadi akili imesimama sheikh ....
hujui kuwatoa manyani shambani kunahtaji nguvu ya pamoja,
kasema ukweli lakini, wasira peke yake kawapakata ukawa wawili[/QUOTEna wewe pia hujitambui wasira alikuwa anaiwakilisha ccm ;lipumba alikuwa anaiwakilisha cuf na Tundu lissu alikuwa anaiwakilisha chadema wassira kuanzia aanze siasa hakuna siku ameaibika kama jana huu ndo ukweli hata kama mtajaribu kupotosha ukweli mm nawaambia tena ccm hawana uwezo wa kushindana na chadema kwenye hoja hata siku moja ccm ni marehemu mtarajiwa
Kweli CCM ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha CCM mmoja apambane na UKAWA wawili ,eti jamani si mmeona kwenye ITV 2:1.
Wasira alipambana na Lipumba akiwa Lisu ,ikimaanisha kwa kila CCM mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?
AU tuseme akili ya CCM mmoja sawa na UKAWA wawili !
tatizo walipeleka mwenye jalada mirembe na bachelor(mtu asiye na familia)kweli ccm ni chama imara ,inakuwaje kuwaje na kubidisha ccm mmoja apambane na ukawa wawili ,eti jamani si mmeona kwenye itv 2:1.
Wasira alipambana na lipumba akiwa lisu ,ikimaanisha kwa kila ccm mmoja kunahitajika wapinzani wawili kupambana nae au wadau mnasemaje ?
Au tuseme akili ya ccm mmoja sawa na ukawa wawili !
vumilia kesho mfungo unaisha akili yako itarudi sawa
WEWE NDO UNATAKA KUMWAIBISHA WASIRA KWA MANENO YAKO, WATANZANIA TULIKUWA TUNASHUHUDIA KAYABURUZA MATUNDU NA MAPU,MBU ILE MBAYAkasema ukweli lakini, wasira peke yake kawapakata ukawa wawili[/QUOTEna wewe pia hujitambui wasira alikuwa anaiwakilisha ccm ;lipumba alikuwa anaiwakilisha cuf na Tundu lissu alikuwa anaiwakilisha chadema wassira kuanzia aanze siasa hakuna siku ameaibika kama jana huu ndo ukweli hata kama mtajaribu kupotosha ukweli mm nawaambia tena ccm hawana uwezo wa kushindana na chadema kwenye hoja hata siku moja ccm ni marehemu mtarajiwa
chezea wasira wewe
WEWE NDO UNATAKA KUMWAIBISHA WASIRA KWA MANENO YAKO, WATANZANIA TULIKUWA TUNASHUHUDIA KAYABURUZA MATUNDU NA MAPU,MBU ILE MBAYA
Ama kweli kuishabikia CCM lazima kuwa na akili za mataiti....
Anyway matusi ndo jadi yenu wana wa Lumumba.
Ubabe wa Wassira hautaisadia CCM wala taifa hili kwa ujumla. Jana alionja joto la jiwe! Mahafidhina wa CCM nafikiri na yeye ni mmojawapo wa kuona Tume hawakuwapa walichotaka wao bali walichotaka/wanachotaka wananchi.
ni ukweli kabisa ccm jana wamevuliwa nguo zote wakabaki uchi wassira ndo maana walimzomea sana kule ukumbi kwani alikuwa hajibu hoja zaidi ya kuweweseka tuu ccm ni marehemu watarajiwaJana Wassira alionesha kabisa kuwa CCM wanaibaka Katiba mpya..
Leo CDM NA CUF WAMEKUWA TOFAUTI TENA, HALAFU USIDANGANYE WATANZANIA, SOTE TULIKUWA MASHUHUDA, MAPUMBA YOTE YALIINGIZWA KWENYE MATUNDU NA WASIRA AKAYAFUKIAkasema ukweli lakini, wasira peke yake kawapakata ukawa wawili[/QUOTEna wewe pia hujitambui wasira alikuwa anaiwakilisha ccm ;lipumba alikuwa anaiwakilisha cuf na Tundu lissu alikuwa anaiwakilisha chadema wassira kuanzia aanze siasa hakuna siku ameaibika kama jana huu ndo ukweli hata kama mtajaribu kupotosha ukweli mm nawaambia tena ccm hawana uwezo wa kushindana na chadema kwenye hoja hata siku moja ccm ni marehemu mtarajiwa
hatuna muda wa kushindana na wendawazimu sisi vp gavana Daudi Bilali mlimzika wapi tena nimesahauWEWE NDO UNATAKA KUMWAIBISHA WASIRA KWA MANENO YAKO, WATANZANIA TULIKUWA TUNASHUHUDIA KAYABURUZA MATUNDU NA MAPU,MBU ILE MBAYA
nyie mnabwabwaja tu, mziki wa wasira ni mnene, maliberari na wahafidhina hawauwezi kabisani ukweli kabisa ccm jana wamevuliwa nguo zote wakabaki uchi wassira ndo maana walimzomea sana kule ukumbi kwani alikuwa hajibu hoja zaidi ya kuweweseka tuu ccm ni marehemu watarajiwa
wewe nipe jibu la wassira kwenye swali hili kwanini raisi wa zanzibar anapigiwa mizinga 21Leo CDM NA CUF WAMEKUWA TOFAUTI TENA, HALAFU USIDANGANYE WATANZANIA, SOTE TULIKUWA MASHUHUDA, MAPUMBA YOTE YALIINGIZWA KWENYE MATUNDU NA WASIRA AKAYAFUKIA
WALIZIKWA PAMOJA NA CHACHA WANGWE, MBOWE ANAJUAhatuna muda wa kushindana na wendawazimu sisi vp gavana Daudi Bilali mlimzika wapi tena nimesahau
mziki wa wasira ni mnene,taarabu nayo ni muziki mnene jana sijaona anajibu hoja zaidi kuweweseka tuunyie mnabwabwaja tu, mziki wa wasira ni mnene, maliberari na wahafidhina hawauwezi kabisa