Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Wassira anasema kuwa hivi sasa wanajadili Rasimu na wataendelea kujadili rasimu kwa mujibu wa sheria zinazoongoza rasimu hiyo
 
Anayezuia mchakato wa katiba ni UKAWA wanaogoma kurudi Bungeni.
 
Wassira anatiririka majibu yanayogusa hoja za wananchi.
 
Tundu Mburula anadai walio wengi ambao wanawajumbe zaidi ya 201 eti ndio wanaozuia! jamaa jinga sana.
 
wana CCM wanaotaka kuwania urais wajiandae kupambana kisawasawa na Wasira kimdahalo!!
 
Back
Top Bottom