Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Mi tayari nipo hapa ubungo plaza kuona show hii kubwa ya kimataifa!!!
 
Ndugu wanabodi, msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na Itv...... Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo..... Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.KARIBUNI

Jana nilibashiri kuwa sio rahisi kwq Wassira kuhudhuria mdahalo huo; CCM hawana hoja zenye mashiko kuhusu Katiba mpya na Serikali mbili wanazong'ang'ania.
 
CCM hawawezi vita vya ana kwa ana ndiyo maana Wasira kakacha mdahalo.CCM bila kubebwa na uwingi wao na kubebwa na bibi mkuu wa bungeni hawana lolote.Ukitaka kumfukuza CCM mpeleke kwenye mdahalo na ukitaka kumfaidi CCM mpeleke kwenye kuunga hoja hapo utaliona hadi gego lake la mwisho ni ndiyooooooo kwa kwenda mbele.
haa haa, huo ndo ukweli mkuu, ccm wamezoea kudanganya wajinga!
 
lipumba mgombea urais mweledi kwa kugombea mara nyingi bila kufanikiwa na tundu lissu anayetusi waasisi wa taifa sijui wana lipi. ukawa wanadhani wana hatimiliki ya kutoa mwongozo kuhusu katiba mpya
haa haa, mkuu weka moja ya tusi ambalo lissu alimtukana mwasisi mkuu, maana nyinyi mnabeba maneno kama yalivyo ilimradi yamesemwa na jk au ccm pole sana mkuu!
 
Ccm lazima wasepe, chezea lissu wewe? Hongereni wana singida kwa kutuletea jembe lissu!
 
Hii nchi inayoongozwa na akina Mwigulu ni aibu sana Jana Mwanza kajiandalia mabango ya kujipongeza na kujisifia huenda na Mwigulu nae ni msaka Urais wa CCM. Nchi imefikia pabaya inapaswa kurudishwa kwenye reli.
 
Nimeshindwa kwenda kumpokea mke wang nasubir mdahalo nipate ukweli wa mambo
 
Naam, namshukuru Mungu kwa kunipa pumzi na afya njema nimewasiri salama hapa ubungo na mambo yanakwenda vizuri tuko pamoja
 
Kikubwa ujumbe umefka tunashukur watanzania wa namna hii wanaotukumbusha kwenye mambo yanayo husisha taifa
 
ccm baada ya kusikia tundu lisu na lipumba kuwa watakuwa hewani itv.ccm wameamua kukata umeme ili tusiangalie .nimenunua lita 50 za petrol najenereta jipya.njoon muangalie bure.nimeweka tv uwanjani.ccm mkome
 
Poleni sana. Ndola abhamula bha ITV bhachali kutulao omudahalo gunu bha mbaika.
 
Nasikia harufu ya Tanganyika hiyooo,uwaziri usiotokana na ubunge wenye magwiji wa fani husika huo,uadilifu na uwajibikaji ndani ya katiba huo...........
Yaani rasimu ya Tume ya Warioba imeshiba basi wasioitakia mema nchi hii wanachelewesha!
Haya ni mapigano sawa na ya wamerikani weusi U.S.A,ubaguzi wa rangi South Afika!
Ibarikiwe Tanganyika,Zanzibar na Tanzania tunayoitaka!
 
Back
Top Bottom