Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,905
- 28,069
Serikali mbili ni mpango wa Shetani....Kamwe hatutoruhusu mpango wa shetani kutawala
Muundo huu wa serikali 3 unaweza kuleta tofauti ya maendeleo,kuvunja muungano kutokana na mapendekezo ya tume -Wassira
Wasira anatoa neno la Mwisho.
My take: sijui anataka kufa!
Kwa hiyo?
Kwani Mungu si mmoja?
Serikali mbili ni mpango wa Shetani....Kamwe hatutoruhusu mpango wa shetani kutawala
Muundo huu wa serikali 3 unaweza kuleta tofauti ya maendeleo,kuvunja muungano kutokana na mapendekezo ya tume -Wassira
Tatizo letu la msingi ni suala la muungano,njia za kutatua tatizo hilo ni kujadili rasimu na njia nyingine ni kura ya maoni-Lissu