Wassira anazomewa sana..
Wassira kawafunika hawa mbuluraaaassss
Amos Wako alisema chanzo cha vurugu Kenya ni kukataliwa rasimu ya katiba na hayo alisema akiwa bungeni wakati hakitoa lecture kwai-Prof Lipumba.
We ulitegemea wampende wasira kwa jinsi alivyowabomoa. Kelele wanadhani zitawaokoa! Kandamiza Mh Wasira.
Hivi kweli kwa raia wa kawaida kama Mama Ntilie au mbeba zege au msukuma mkokoteni; serikali 3 zitamsaidiaje kwenye ugumu wa maisha?
Kwa hali ilivyo katiba hakuna hapa...me naona rais jk atupilie mbali tuendelee na hii iliyopo
amewakashifu viongozi wa dini na kusema kuwa wamekula rushwa!: tena kawataja kwa majina wakiwemo maaskofu na masheikh!
Huyu mwenyekiti mbona anamsapoti sana Tyson
Hiki chagadema ni chama cha mabavu bila akili.