Lipumba anaanza kumwaga cheche..
Saafi, na tupate dondoo
Lipumba anaanza kumwaga cheche..
Mpambanaji yule yupo.Inasemekana kuwa hatakuwepo baada ya kuonekana akichanja buga hadi kisigino kinagusa kisogoni.
Mungu yupi huyo anayejiingiza kwenye siasa za kijinga?? Acha shiriki mbuzi maji weweMungu ataipigania UKAWA NA wanaoipinga watanyamaza kimyaaaa
Heading haiendani na content na pia hakuna kitu inaitwa new update hapa duniani ila kuna news updates