Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Kwa hiyo?Serikali mbili ina mambo mengi ambayo hayamo katika rasimu ya tume ya warioba
Kwa hiyo?Serikali mbili ina mambo mengi ambayo hayamo katika rasimu ya tume ya warioba
Hivi unafikiri wakipiga kura mle ukumbini watashinda wepi ?,serikali mbili au tatu
Wanasema wanaongea kama wananchinondo za wajumbe wa tume si mchezo
Huyu Mjumbe anayeongea sasa atakuwa ametumwa na UKAWA. Polepole kaongea vema sana
Kwani Mungu si mmoja?Serikali tatu ni mpango wa Mungu.
huyu mzenj ni ukawa pure
huyu mzenj ni ukawa pure
Kasomeni katiba hii na rasimu ya katiba mpya ili mfanye maamuzi sahihi-Polepole
Kuna thread moja nilisema huyo ngedere wa c.c.em asingeweza kutia maguu na imekuwa kweli!
-daima hawajiamini katika kuuzungumzia ukweli wenye maslahi kwa taifa.
Acha uongo Humphrey hajataja mtu, ficha ujinga wako uepuke aibu.
Ukawa mmepata za uso.
Wassira kawapa za uso.