Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Wasipofikia maafikiano na maridhiano hawa wanasiasa watakuwa wametuangusha kwenye upatikanaji wa katiba mpya na tuna matatizo makubwa nayo ni maslahi binafsi na maslahi ya makundi.Maslahi ya makundi yamechangiwa na maslahi binafsi.Maslahi ya Taifa hayana msimamizi-Polepole.

Huyu Polepole nae ana point
 
Hivi unafikiri wakipiga kura mle ukumbini watashinda wepi ?,serikali mbili au tatu
 
Mjumbe wa tume anasisitiza msingi wa katiba ni muundo wa muungano
 
Kasomeni katiba hii na rasimu ya katiba mpya ili mfanye maamuzi sahihi-Polepole
 
Humphery Polepole anasikitika ni junsi gani Wassira ameongea hata mambo mengine ambayo hayapo kwenye Rasimu
Acha uongo Humphrey hajataja mtu, ficha ujinga wako uepuke aibu.
Ukawa mmepata za uso.
Wassira kawapa za uso.
 
Huyu Mjumbe anayeongea sasa atakuwa ametumwa na UKAWA. Polepole kaongea vema sana
 
Serikali mbili ina mambo mengi ambayo hayamo katika rasimu ya tume ya warioba
 
Back
Top Bottom