Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

UKAWA wamenywesha watu viroba waende kupiga kelele!
 
Mambo mengi yaliyozungumzwa na wageni hayapo kwenye rasimu na mchakato wa kutunga katiba si wa vyama vya siasa peke yao-Polepole
 
Humphery Polepole anasikitika ni junsi gani Wassira ameongea hata mambo mengine ambayo hayapo kwenye Rasimu
 
huyu nae lazima aitetee rasimu - akili yake anadhani ni bora kuliko za watanzania wengine. sijui ni nani huyu nae
 
Kuna makundi mawili
1. Maslai Binafsi
2. Maslai ya makundi..............By Polepole
 
Wasipofikia maafikiano na maridhiano hawa wanasiasa watakuwa wametuangusha kwenye upatikanaji wa katiba mpya na tuna makundi makubwa nayo ni maslahi binafsi na maslahi ya makundi.Maslahi ya makundi yamechangiwa na maslahi binafsi.Maslahi ya Taifa hayana msimamizi-Polepole.
 
Back
Top Bottom