Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,077
Wassira anazomewa sana..
Kasema ukweli kabisa WassiraWassira kaabishwa.....Anatumia mabavu...
Kweli kabisa MkuuChagadema wameanza kelele kwa woga wa hoja za mh wasira. wameanzisha nguvu ya misukule ya umma ndani ya mdahalo.
Wasira anajibu vitu kirahisirahisi
Wassira kaabishwa.....Anatumia mabavu...