Lissu kafilisika kimawazo
Wassira.... Hata kama Tume zilizopita zilipendekeza serikali Tatu lakini mbona hazikupitishwa,hivyo na hii ya sasa haitapita
Lissu kafilisika kimawazo
Njaa kitu kibaya sana. Mi nahisi we mchumia tumbo. Usiyetaka kuishughulisha akili yako kufikiri ,alafu bado unajiita gt. Haya we bobea vitendo
Wassira.... Hata kama Tume zilizopita zilipendekeza serikali Tatu lakini mbona hazikupitishwa,hivyo na hii ya sasa haitapita
Sijui kwanini kwa baadhi ya watu inakuwa ngumu kuelewa kuwa serikali hiyo ya tatu ikibaki kama ilivyopendekezwa na Tume ya Katiba haiwezi kusimama; sijui kwanini!
Sidhani kama wasira atamaliza mdahalo.
Lissu kafilisika kimawazo
hataki wamzomee kwani aliwambia akikuta zomezomea he walks out.ndo maana wako tayari kukata matangazo iwapo patakuwepo zomea
Pumba tupu, ndio maana anazomewa hovyo.
kama anaamini haitapita wairuhusu wajadili kuiboresha watuletee wananchi tuone na sio kutuletea utumbo wa mbiliWassira.... Hata kama Tume zilizopita zilipendekeza serikali Tatu lakini mbona hazikupitishwa,hivyo na hii ya sasa haitapita
Kumbe ndio lilikuwa sharti lake la kushiriki mdahalo?