Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,577
Shirikisha ubongo wako wakati wa kufikiri...
we akili zako sawa na ID yako tu. Maana ya id yako ni duduwasha.
Shirikisha ubongo wako wakati wa kufikiri...
Wassira kawaweza kwelikweli na wamebaki kutukana viongozi wa dini!Well done Wassira...akina Lissu hata mahesabu hawajui.
TL na Lipumba wanajikanyaga tu. Warudi tu bungeniGo go go wasira.
ukawa hawarudi bungeni ,
we akili zako sawa na ID yako tu. Maana ya id yako ni duduwasha.
I think Lisu kuna kitu kinamsumbua...hayuko sawa kiakili!!!Wassira kawaweza kwelikweli na wamebaki kutukana viongozi wa dini!
amewakashifu viongozi wa dini na kusema kuwa wamekula rushwa!: tena kawataja kwa majina wakiwemo maaskofu na masheikh!
Kusema kwamba ni mashehe ni maccm ni kosa?
Mkuu si kwamba hawana akili. Huwa wanajitoa ufahamu tu. Hapo kajisahau, wenzie watamlaumu sana kama yule kiwete aliyejisahau BMK na kudai ......na Chalinze tutawapiga tena kama tulivyowapiga Njombe.Mbona kama unaunga mkono hoja ya LISSU kwamba wameongeza kanuni baada ya wao kuondoka