idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Na mimi ni miongoni mwa waumini wa serekali MojaNaona kuna wananchi wameanza kuuona ukweli. Wanapendekeza muundo wa serikali moja
Na mimi ni miongoni mwa waumini wa serekali MojaNaona kuna wananchi wameanza kuuona ukweli. Wanapendekeza muundo wa serikali moja
Wasira ni kifaa adimu katika nchi yetu
mkuu huyo wasira wako unae chumbani?mana huyu wa itv analeta ubabe tu na kupiga bitNa Wassira anajibu vema sana
Wasira ni kifaa adimu katika nchi yetu
Acha kutumika badilika na kuwa na upeo haya yaliongeleka na kwann waliamua kufanya kikao cha kanuni wakati washiriki wengine hawapo acha kuleta siasa hapa kumbuka ".... Mtaji wa mwanasiasa na watu na ikiwezekana na maisha ya hao watu..." Acha kutumika wewe
Well said mkuu. Namkubali sana.
Chagadema wameanza nguvu ya umma katika mdahalo wanafanya fujo ili Mh wasira asiwaadhiri ukawa. Kweli njia ya waongo fupi!; LISU kalowaaa! anatumia watu kufanya fujo.
Leo ndio leo wasira kaingia cha kikeni.kakuta maji mna.
Zao la upinzani huyo