Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Ni kweli, iikuwa nje ya box. Hapa inatakiwa TFF watumie busara kama za ligi nyingine. Pale refa hana la kujibu kutokana na mahali alipokuwa wakati tukio lilipotokea.

Unataka wabatilishe matokeo?...

Kikawaida refa ndo huadhibiwa lakini matokeo hubaki kama yalivyo...

Hii inanikumbusha mechi ya Yanga na Coastal ambapo muamuzi Sanya alitoa penati yenye utata kwa Coastal na baadae kufungiwa..

Wana Simba walishadadia sana penati ile ya Yanga na Coastal, leo yamewakuta wanalialia tu...

Wazee wa sare...Hongereni sana, shangilieni basi na sare hii kama mlivyofanya kwa Yanga..
 
Heheh wangevua fulana, mashati au suruali ndio wazitumie kama mbadala wa matawi ya miti...

Hizo sio fujo wanashangalia kwa style nyingine kwani tatizo hawakuja na bendera za kutosha wameamua kung'oa viti ili wanyanyue juu kushangilia (wamejisahau wakadhani viti havina gharama kama matawi ya miti ndio ffu wameingilia kati)
 
Unataka wabatilishe matokeo?...

Kikawaida refa ndo huadhibiwa lakini matokeo hubaki kama yalivyo...

Hii inanikumbusha mechi ya Yanga na Coastal ambapo muamuzi Sanya alitoa penati yenye utata kwa Coastal na baadae kufungiwa..

Wana Simba walishadadia sana penati ile ya Yanga na Coastal, leo yamewakuta wanalialia tu...

Wazee wa sare...Hongereni sana, shangilieni basi na sare hii kama mlivyofanya kwa Yanga..

Tulipo mchapa Israel wakatuita ng'hu ng'ha, leo yamewakuta pia!
 
ha ha ha ha ha![QUOTE=palalisote;7703843][/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Mweyekiti wa timu anatembea na bastola hadi mkutanoni unategemea mashabiki wawe vp. Police wangewategua viuno hata wapuuzi wa4 ingekua poa sana
 
Yani leo nimekosa mautamu balaa.Any way,updates please.dk ya ngapi hapo taifa wakuu.
 
aise!
Hamisi tambwe kwani hakuwepo na yule mombeki?
Cc masuke revocatus kashaga

tambwe ndo kafunga , kagera wamesawazisha kwa penati dakika ya 90 +4. Baada ya hapo mashabiki wa simba wakaanza kungoa viti baada ya tv kuonyesha replay ambayo inaonyesha madhambi yalifanyika nje ya 18. Hata hivyo ffu walifanya kazi yao ipasavyo.
 
Back
Top Bottom