ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Mimi nadhani hizi reply zinazooneshwa kwenye tv iliyo ndani ya uwanja wa taifa, sisi hazitufai, kwani mashabiki bado hawajawa na uvumilivu wa kutosha pindi pale refa anapokosea, sana sana kwenye maamuzi ya penalti kama leo.
Ipo siku hizi replay zitatuletea balaa zaidi!
Ipo siku hizi replay zitatuletea balaa zaidi!