Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,269
- 108,261
Dhaira ???
Sorry Hashimu....kuandika na kuangalia tabu kweli kweli...
Dhaira ???
Wameuza wapi wewe? Mnaaanza kutafuta sababu ya kukata rufaa ushindi wetu wa leo.......Kagera anapigwa bao tatu na zote anapiga Tambwe.
Mkuu umesubiri kameingia kamoja ndo umepata nguvu ya kuja humu... tuonane second half..
mpira umekoleo mashambulizi ya zamu
Tbccm chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,Mzigo umeamia chana reli 10.!!!!!!!
wapachike la pili pressure huku
Hawa Kagera wanajitahidi sana kumiliki mpira, na Kibadeni asipokaa vizuri na vijana wake hii mechi ngumu sana.
messi anafanya kazi kubwa alafu anakosa maarifa
Kwani ni nani anashikilia kiatu cha ufungaji bora michuano ya kagame? Acha wivu mkuu , na wenye nafasi yao wanarudi pale juu
Dk 30
Simba SC 1 - 0 Kagera S
Leo jamaa wanashinda
Leo jamaa wanashinda