Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Pole mkuu,mpira ni kiwango na bahati!Hatulipi bhana,,,,,,atalipa refa aliyesababisha vurugu.
Pole mkuu,mpira ni kiwango na bahati!Hatulipi bhana,,,,,,atalipa refa aliyesababisha vurugu.
Asante sana mkuu kwa updates,,,,,,,nilikuwa kama nipo uwanjani.........natangulia kukaribisha wageni bhana...
Hatulipi bhana,,,,,,atalipa refa aliyesababisha vurugu.
Huyu refa matatizo kweli, kwanza muda ulikuwa umeshaisha, pili jamaa amekwatuliwa nje ya 18, anyway yeye ndo mwamuzi wa mwisho.
duuuuh. nimecheka sana. ila simba serious walichofanya si cha kiungwana.Huo uwanja umejengwa kwa kodi tunazolipa kupitia mishahara yetu kiduchu, kama refa kawaudhi kwa nini msimpe kichapo kama wenzenu tulivyomchapa Israel Nkongo? Mnang'oa viti vimewakosea nini? Vimebeba harufu chafu ya vinyeo vyenu muda wote wa mchezo halafu mnaving'oa mwishoni! Mlaaniwe kabisa SSC, huu ni ushamba uliopitiliza.
Nipe matokeo ya simba mpka sasa hz ngapi ngapi
Mkuu ilikuwa ni dakika ya mwisho kabisa kati ya zile za nyongeza...
Ishu hapa labda ni hilo la faulo kuchezwa nje ya 18...
Tunakupongeza sana
Daaah Simba bana.
simba wanarudi kileleni leo
mkuu penati haikuwa halali jamaa alifanyiwa faulo nje ya box alafu pia refa alikuwa mbali na tukio
Makoye Matale,,,,,,,,,haya matusi sasa.Huo uwanja umejengwa kwa kodi tunazolipa kupitia mishahara yetu kiduchu, kama refa kawaudhi kwa nini msimpe kichapo kama wenzenu tulivyomchapa Israel Nkongo? Mnang'oa viti vimewakosea nini? Vimebeba harufu chafu ya vinyeo vyenu muda wote wa mchezo halafu mnaving'oa mwishoni! Mlaaniwe kabisa SSC, huu ni ushamba uliopitiliza.
Kilele kipi?
Dah! Nimecheka sana