Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Krosi nyingi za Simba hazina macho, wakiendelea kuwa hivi watapata tabu kufunga...
 
hawa kagera wanajichelewesha kufa israel anawapigia jaramba
 
Chollo anarusha mpira...Kagera wanaokoa
 
Goalllllllllllllllllllllll Simba wanapata bao la kwanza
 
Dk 45 +

Amisi Tambwe anaifungia Simba bao la kwanza

Simba SC 1 - 0 Kagera S
 
Anaitwa Amis Tambwe Magoli, washabiki wa Ndala wanamuita Mapenati.
 
Back
Top Bottom