Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Wekundu wa msimbazi Simba leo watashuka uwanja wa taifa kuwakaribisha wakatamiwa wa kagera, Kagera Sugar, mchezo wa leo ni ''MUST WIN GAME'' kwa Simba baada ya kupoteza points kadhaa katika michezo 4 iliyopita.
Ushindi wa leo kwa Simba utawarudisha kileleni wa msima wa ligi, Simba imeongezewa nguvu zaidi baada ya wachezaji majeruhi Amis Tambwa na Nasorro Chollo kurudi uwanjani.
Mechi itaanza saa 10 kamili jioni na itakuwa live kupitia TBC1
UPDATE
Kikosi cha Simba
1. Abel dhaira
2. Nassoro chollo
3. Issa rashid ''baba ubay''
4. Hassan khatib
5. Joseph owino
6. Jonas mkude
7. Singano messi
8. Said ndelma
9. Amis tambwe
10. Amri kiemba
11. Zahoro pazzi
 
wachezaji wa simba wameahidi ushindi wa kishindo kwa soka safi, wapenzi wa simba mnaombwa kujitokeza wingi kutoa support ya kutosha
 
Wekundu wa msimbazi Simba leo watashuka uwanja wa taifa kuwakaribisha wakatamiwa wa kagera, Kagera Sugar, mchezo wa leo ni ''MUST WIN GAME'' kwa Simba baada ya kupoteza points kadhaa katika michezo 4 iliyopita.
Ushindi wa leo kwa Simba utawarudisha kileleni wa msima wa ligi, Simba imeongezewa nguvu zaidi baada ya wachezaji majeruhi Amis Tambwa na Nasorro Chollo kurudi uwanjani.
Mechi itaanza saa 10 kamili jioni na itakuwa live kupitia TBC1

Leo simba wanapigwa tu!!
 
Majanga mengine leo yanakuja msimbazi.
Kiwanda cha kagera sugar kimewaahidi wachezaji wao tsh 100m endapo wataipiga simba.
 
Bado Sijaiona kikosi cha ushindi hapo.

Back
Top Bottom