Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Za kucha... vp penalty ni halali...maana muamuz asije fungiwa mwaka

Kiuhalisia faulo imefanyika nje ya 18yds, mwamuzi alikuwa mbali, hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua ipigwe penati. Ile ni human error, Azam TV walipoonesha slow motion Wazee wakaona vurugu zikalipuka, Azam TV wamekosea sana, makosa kama yale huwa hayarudiwi, yana madhara kwa binadmu na mali. Wajifunze kwa SuperSport.
 
Nilikua sijawah kumuona themi felix hata siku moja. Leo nimemuona na ni mkali kuliko hawa wenu wa kariakoo kina bahanuzi.

kweli mkuu amepiga mpira wa maana ni straika mzuri, ila mwamuzi amefanya upapuchi kuharibu game
 
Kiuhalisia faulo imefanyika nje ya 18yds, mwamuzi alikuwa mbali, hakuwa na jinsi zaidi ya kuamua ipigwe penati. Ile ni human error, Azam TV walipoonesha slow motion Wazee wakaona vurugu zikalipuka, Azam TV wamekosea sana, makosa kama yale huwa hayarudiwi, yana madhara kwa binadmu na mali. Wajifunze kwa SuperSport.

Ni kweli, iikuwa nje ya box. Hapa inatakiwa TFF watumie busara kama za ligi nyingine. Pale refa hana la kujibu kutokana na mahali alipokuwa wakati tukio lilipotokea.
 
Droo zingine mlikuwa mnashangilia, imekuwaje droo ya leo mmefanya fujo!

Kwanini ya tatu kwa tatu hawa kung'oa viti..haaahaaaa,hawa mashabiki wasimba wanaakili kama zamwenyekiti wao,kumbe ndomana walimchaguaaa....!!!!
 
Ooh Yanga ndo wenye vurugu, hawa wanaopigwa mabovu siyn Simba.

Yanga mngepewa kombe kabisa ndo tucheze mpira hamuwezi kununua wachezaji,marefa, hadi kusimika safu ya viongozi wa TFF halafu haya yasitokee.Yanga bingwa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Haya Simba 1- Kagera 1.Shangilieni droo kama kawaida yenu Simba
 
Makoye Matale,,,,,,,,,haya matusi sasa.

Mkuu Katavi sijatukana mie, inaudhi sana nchi maskini tunajiongezea gharama za kukarabati uwanja, mwamuzi kavurunda na bado yupo uwanjani kwa nini msimcharaze? Mnaong'oa viti kwa kosa gani? Tafakarini njia zenu.
 
Last edited by a moderator:
Dk 90+4

Simba SC 1 - 1 Kagera S

Kagera wanapata bao kwa penati inayokwamishwa kimiani na Salum Kanoni beki wa kulia na mchezaji wa zamani wa Simba...

Mpira umekwisha....

Mashabiki wa Simba wanafanya fujo na askari wa FFU wanafanya kazi yao....

Sijui kwa nini leo mashabiki wa Simba wanafanya fujo wakati kwao droo ni sawa na ushindi...namna gani paleee

Hizo sio fujo wanashangalia kwa style nyingine kwani tatizo hawakuja na bendera za kutosha wameamua kung'oa viti ili wanyanyue juu kushangilia (wamejisahau wakadhani viti havina gharama kama matawi ya miti ndio ffu wameingilia kati)
 
Yanga mngepewa kombe kabisa ndo tucheze mpira hamuwezi kununua wachezaji,marefa, hadi kusimika safu ya viongozi wa TFF halafu haya yasitokee.Yanga bingwa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ila kwenye kupiga kura hawakutuma mwakilishi unadhani walitumia mbinu gani kusimika viongozi kama eneo la tukio hawakuwepo
 
Yanga mngepewa kombe kabisa ndo tucheze mpira hamuwezi kununua wachezaji,marefa, hadi kusimika safu ya viongozi wa TFF halafu haya yasitokee.Yanga bingwa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mkuu uko Off-Point. Yanga hatuna hela, heri yenu mliochukua hata za Azam TV.
 
Hizo sio fujo wanashangalia kwa style nyingine kwani tatizo hawakuja na bendera za kutosha wameamua kung'oa viti ili wanyanyue juu kushangilia (wamejisahau wakadhani viti havina gharama kama matawi ya miti ndio ffu wameingilia kati)

Hivi ndivyo vijimambo vya watani.
 
Back
Top Bottom