Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Simba wanapata kona...Kagera wanaokoa...
 
Kagera wanapata kona....kipa wa Simba anadaka
 
Hawa Kagera Sugar ni noma wanaweza kuharibu muda wowote, Simba ongezeni japo la pili tupumue.
 
Huyu Paul ni mzuri wajameni..... kifutiboli...
 
Dk 45

Simba SC 1 - 0 Kagera S

Mpira utaongezewa dk 4 tu....
 
Simba wamechoka..... wanachezewa nusu uwanja..
 
Back
Top Bottom