Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Live update: Simba SC vs Kagera Sugar

Kagera wameuza mechi tangu jana, sitashangaa matokeo

Wameuza wapi wewe? Mnaaanza kutafuta sababu ya kukata rufaa ushindi wetu wa leo.......Kagera anapigwa bao tatu na zote anapiga Tambwe.
 
Pamoja na kuongoza kwa goli moja lakini timu ya Simba haijacheza vizuri sana kipindi cha kwanza, kuna pasi nyingi sana zinapotea, nimefurahishwa na madogo watatu wa Simba ambao ni Ramadhani Singano, Jonas Mkude, Said Ndemla wanakaba vizuri na pasi zao nyingi zinafika kwa mlengwa, pia hata Amis Tambwe anacheza vizuri anamiliki mpira, Mwombeki anapoteza sana pasi lakini anajitahidi kukaba. Kipindi cha pili inabidi mabeki waimarike sana hasa mabeki wa pembeni Said Chollo na Issa Rashid, Joseph Owino na Hassan Khatibu nao waongeze umakini ili kumlinda bwana mdogo Abuu Hashim ambaye anaonekana kukaa imara sana kwenye lango la timu yake.
 
Amis tambwe straika bora kwa sasa Africa mashariki na kati, what a goal
 
Pamoja na kuongoza kwa goli moja lakini timu ya Simba haijacheza vizuri sana kipindi cha kwanza, kuna pasi nyingi sana zinapotea, nimefurahishwa na madogo watatu wa Simba ambao ni Ramadhani Singano, Jonas Mkude, Said Ndemla wanakaba vizuri na pasi zao nyingi zinafika kwa mlengwa, pia hata Amis Tambwe anacheza vizuri anamiliki mpira, Mwombeki anapoteza sana pasi lakini anajitahidi kukaba. Kipindi cha pili inabidi mabeki waimarike sana hasa mabeki wa pembeni Said Chollo na Issa Rashid, Joseph Owino na William Lucian nao waongeze umakini ili kumlinda bwana mdogo Abuu Hashim ambaye anaonekana kukaa imara sana kwenye lango la timu yake.

Safi Mkuu tukipata kumi kama ninyi tutafika mbali
 
mkuu Mombeki ni mzito sana anashindwa kwendana na kasi ya vijana wa matola
 
Naona mkuu ndio taratibu unajisogeza jukwaani kama jua la asubuhi linavyochomoza angani...
Niko toka page ya pili, usiponiona jukwaani jua kwamba nimebanwa na wakoloni au Muhongo amechukua umeme wake na kisimu changu cha kichina hakina chaji au niko uwanjani live na huko mara nyingi huwa nakuwa busy kushangilia.
 
Simba inabidi umakini uongezeke mechi ya leo ni yakuvuna magoli
 
mkuu Mombeki ni mzito sana anashindwa kwendana na kasi ya vijana wa matola
Kuna madogo kama Christopher Edward huyu anakasi tatizo ana mbwembwe nyingi, kuna Abdallah Seseme bahati mbaya ni majeruhi na huyu Haruna Chanongo naye kapelekwa kikosi B lakini wangekuwepo pengine kasi ya Simba ingekuwa kubwa zaidi na wangeweza kuwachanganya mabeki wa Kagera hivyo kumpatia Tambwe nafasi ya kupata magoli zaidi.
 
Straika bora East & Central Africa atoke Burundi! Umemeza SP au mseto? Inaonekana una malaria.

Kwani ni nani anashikilia kiatu cha ufungaji bora michuano ya kagame? Acha wivu mkuu , na wenye nafasi yao wanarudi pale juu
 
Back
Top Bottom