Asante sana kipenzi changu.
Nakupenda pia baba mtoto wangu.
Sina usemi juu yako, na unajua ni jinsi gani nakupenda wewe tu.
Nilikupenda jana, nakupenda leo na nitaendelea kukupenda milele mpenzi wangu wa moyo.
Nakupenda sana, kuliko unavyodhani na kufikiri na sidhani kama kuna mtu ataweza kunitenganisha nawewe mpenzi wangu.
Nina mengi ya kuandika hapa, ila nakua wajua jinsi ninavyokupenda na kulinda penzi letu.
I love you
PSL god β€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈβ€οΈ