Ah wapi? Kuna mchizi mpaka anaapia kabisa kwamba hajwahi ona pis kali kama wew afrika mashariki na kati hii.. mm mpaka najisemea diamond platinum simba la masimba dangote linkwwama wapi kutia hela
πππ Mi hapa hakuna hata mmoja ninayemfahamu na anayenifahamu.!!
Nikiingia JF nakutana na fake pipo
Uhalisia upo kwenye ulimwengu wangu wa huku nilipo.!!
Halafu ile pic wala sikuwa na lengo la watu wajadili dollar ila shobo za waja na chuki zao πππ
Pesa sina ile pic ya kawaida isikutishe.!
Eehh kingine?