NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,362 Reaction score 25,901 Aug 10, 2024 #10,821 ephen_ said: Una point utafika mbaliiiii Click to expand... Karibu mkuu Attachments IMG-20240810-WA0128.jpeg 579.3 KB · Views: 6
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Aug 10, 2024 #10,822 and 100 others said: Umetongoza jf yoote... Kuna manzi aliitwa d@rl!n i think so ulitongoza pia... Na gia zako za u dc wa Kisarawe... Niendelee na list... Click to expand... πππ Ww mm nimekuambia huwa sitongozi, huwa natumia ndumba
and 100 others said: Umetongoza jf yoote... Kuna manzi aliitwa d@rl!n i think so ulitongoza pia... Na gia zako za u dc wa Kisarawe... Niendelee na list... Click to expand... πππ Ww mm nimekuambia huwa sitongozi, huwa natumia ndumba
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,362 Reaction score 25,901 Aug 10, 2024 #10,823 and 100 others said: Umetongoza jf yoote... Kuna manzi aliitwa d@rl!n i think so ulitongoza pia... Na gia zako za u dc wa Kisarawe... Niendelee na list... Click to expand... Doh π€£π€£
and 100 others said: Umetongoza jf yoote... Kuna manzi aliitwa d@rl!n i think so ulitongoza pia... Na gia zako za u dc wa Kisarawe... Niendelee na list... Click to expand... Doh π€£π€£
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,091 Aug 10, 2024 #10,824 mshamba_mwingine said: ni haya manywele yangu unaogopa? basi ntanyoa Click to expand... Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza?? Em shusha mistari naweza kukubali mana nimeambiwa mi mgumu sikubali watu wa JF πππ
mshamba_mwingine said: ni haya manywele yangu unaogopa? basi ntanyoa Click to expand... Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza?? Em shusha mistari naweza kukubali mana nimeambiwa mi mgumu sikubali watu wa JF πππ
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 10, 2024 #10,825 Kalaga Baho Nongwa said: Karibu mkuu Click to expand... Asante! Ila situmii
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Aug 10, 2024 #10,826 and 100 others said: Kibaya wanakukataa... Click to expand... Kwa ndumba nilizonazo hakuna wa kukataaπ
and 100 others said: Kibaya wanakukataa... Click to expand... Kwa ndumba nilizonazo hakuna wa kukataaπ
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,362 Reaction score 25,901 Aug 10, 2024 #10,827 Countrywide said: Kama depal anawaambia hivyo basi atakua anataka nimtongoze kweliπ Lakini mm namtomgoza depal nimpeleke wapi. Depal si boya tu kama maboya wengineπππ Click to expand... Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnazi
Countrywide said: Kama depal anawaambia hivyo basi atakua anataka nimtongoze kweliπ Lakini mm namtomgoza depal nimpeleke wapi. Depal si boya tu kama maboya wengineπππ Click to expand... Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnazi
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 Aug 10, 2024 #10,828 Lamomy said: Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza?? Em shusha mistari naweza kukubali mana nimeambiwa mi mgumu sikubali watu wa JF πππ Click to expand... mimi napenda tu hilo base lako linanisisimuaπ
Lamomy said: Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza?? Em shusha mistari naweza kukubali mana nimeambiwa mi mgumu sikubali watu wa JF πππ Click to expand... mimi napenda tu hilo base lako linanisisimuaπ
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,696 Reaction score 131,817 Aug 10, 2024 #10,829 Lamomy said: Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza?? Em shusha mistari naweza kukubali mana nimeambiwa mi mgumu sikubali watu wa JF πππ Click to expand... Kwa nini haukubali sasa?π
Lamomy said: Manywele yako yanahusiana vipi na kutongoza?? Em shusha mistari naweza kukubali mana nimeambiwa mi mgumu sikubali watu wa JF πππ Click to expand... Kwa nini haukubali sasa?π
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,362 Reaction score 25,901 Aug 10, 2024 #10,830 Lamomy said: πππ wamekudanganya mi wa kawaida, halafu sijawahi kutongozwa na wala sina husiano lolote na watu wa JF. Click to expand... Mm ninetumiwa hadi picha yako. Roho inaniuma twenti foo seven! Nakusubiria peponi mana dunian sina hela hiyo
Lamomy said: πππ wamekudanganya mi wa kawaida, halafu sijawahi kutongozwa na wala sina husiano lolote na watu wa JF. Click to expand... Mm ninetumiwa hadi picha yako. Roho inaniuma twenti foo seven! Nakusubiria peponi mana dunian sina hela hiyo
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Aug 10, 2024 #10,831 Kalaga Baho Nongwa said: Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnazi Click to expand... Pisi zipi hizo?π
Kalaga Baho Nongwa said: Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnazi Click to expand... Pisi zipi hizo?π
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,091 Aug 10, 2024 #10,832 mshamba_mwingine said: mimi napenda tu hilo base lako linanisisimuaπ Click to expand... Base ndio ninalo km Halima Mdee ππ Kwahiyo hapo ndio umemaliza?
mshamba_mwingine said: mimi napenda tu hilo base lako linanisisimuaπ Click to expand... Base ndio ninalo km Halima Mdee ππ Kwahiyo hapo ndio umemaliza?
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 6,528 Reaction score 11,694 Aug 10, 2024 #10,833 Kwani if kuna madem? Minajuaga wote hapa wanaume tupo
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,362 Reaction score 25,901 Aug 10, 2024 #10,834 ephen_ said: Asante! Ila situmii Click to expand... Doh! Kumbe mtoto wa mzee wa kanisa? Basi rejea mathayo 2:30-35 ephen mm nimekuelewa! Twende wote peponi
ephen_ said: Asante! Ila situmii Click to expand... Doh! Kumbe mtoto wa mzee wa kanisa? Basi rejea mathayo 2:30-35 ephen mm nimekuelewa! Twende wote peponi
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 Aug 10, 2024 #10,835 Lamomy said: Base ndio ninalo km Halima Mdee ππ Kwahiyo hapo ndio umemaliza? Click to expand... mtindi lita 20π
Lamomy said: Base ndio ninalo km Halima Mdee ππ Kwahiyo hapo ndio umemaliza? Click to expand... mtindi lita 20π
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,091 Aug 10, 2024 #10,836 Kalaga Baho Nongwa said: Mm ninetumiwa hadi picha yako. Roho inaniuma twenti foo seven! Nakusubiria peponi mana dunian sina hela hiyo Click to expand... π³π³ whaaatttt??!! Picha yangu umeitoa wapi? Hivi unajua mi ni mtu nisiyejulikana.!! πππ
Kalaga Baho Nongwa said: Mm ninetumiwa hadi picha yako. Roho inaniuma twenti foo seven! Nakusubiria peponi mana dunian sina hela hiyo Click to expand... π³π³ whaaatttt??!! Picha yangu umeitoa wapi? Hivi unajua mi ni mtu nisiyejulikana.!! πππ
mshamba_mwingine JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 1,082 Reaction score 4,235 Aug 10, 2024 #10,837 Kalaga Baho Nongwa said: Doh! Kumbe mtoto wa mzee wa kanisa? Basi rejea mathayo 2:30-35 ephen mm nimekuelewa! Twende wote peponi Click to expand... wewe anakufaa sweetcandy
Kalaga Baho Nongwa said: Doh! Kumbe mtoto wa mzee wa kanisa? Basi rejea mathayo 2:30-35 ephen mm nimekuelewa! Twende wote peponi Click to expand... wewe anakufaa sweetcandy
and 100 others JF-Expert Member Joined Feb 3, 2023 Posts 4,515 Reaction score 14,979 Aug 10, 2024 #10,838 Kalaga Baho Nongwa said: Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnazi Click to expand... Hakubali ndio maana anajikuta mh dc... Hana kila kitu... Angekuwa ni jamaa angeingia na gia ye ni Majaliwa...
Kalaga Baho Nongwa said: Mkuu kaushaga tu! Pisi za humu zina wenyewe... mm nilijaribu kwa faiza foxy nikashindwa nasikia mke wa mbunge. Wewe endelea kupanda mnazi Click to expand... Hakubali ndio maana anajikuta mh dc... Hana kila kitu... Angekuwa ni jamaa angeingia na gia ye ni Majaliwa...
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,091 Aug 10, 2024 #10,839 mshamba_mwingine said: mtindi lita 20π Click to expand... Ehhh.!! ππ Na mtindi nao upo, kingine?
mshamba_mwingine said: mtindi lita 20π Click to expand... Ehhh.!! ππ Na mtindi nao upo, kingine?
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,362 Reaction score 25,901 Aug 10, 2024 #10,840 Lamomy said: π³π³ whaaatttt??!! Picha yangu umeitoa wapi? Hivi unajua mi ni mtu nisiyejulikana.!! πππ Click to expand... Ah wapi? Kuna mchizi mpaka anaapia kabisa kwamba hajwahi ona pis kali kama wew afrika mashariki na kati hii.. mm mpaka najisemea diamond platinum simba la masimba dangote linkwwama wapi kutia hela
Lamomy said: π³π³ whaaatttt??!! Picha yangu umeitoa wapi? Hivi unajua mi ni mtu nisiyejulikana.!! πππ Click to expand... Ah wapi? Kuna mchizi mpaka anaapia kabisa kwamba hajwahi ona pis kali kama wew afrika mashariki na kati hii.. mm mpaka najisemea diamond platinum simba la masimba dangote linkwwama wapi kutia hela