Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Rasmi kwa mara ya kwanza naingia kwenye huu uzi kukamata lishangazi baada ya manzi angu kunipiga kibuti after I proposed...... Oyaaa kuna shangazi hapa nimpe mistari ya "you know baby, you know me?"
๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ขKwahiyo hakuna wa kumwambia "you know baby, you know me?" daah ukapuku sio fresh
 
Athibitishe kauli yake kwanza๐Ÿคฃ
Huyu janja janja nyingi km mzee wa nini kimetokea ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kapiga bonge kisha kapita hivi ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Huyu janja janja nyingi km mzee wa nini kimetokea ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kapiga bonge kisha kapita hivi ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Achana na huyo mzee, nipo hapa kwa ajili yako.
sijawahi kuoa mimi.
 
Mkuu and 100 others unaijua ile kapo ya jayz na Beyonce ๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ kumbe ilikuwa ya kihuni jamaa alitengeneza mwenyewe
 
Back
Top Bottom