Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

kiwatengu raia ya mlima wa Mungu napita tu kukusalimia...

Karucee jirani wa zamani tualikane ubweche, nimeona umepigwa ya mkeka na The Gentlemen

Espy we si muchepuko halali wa Eli79 unatafuta nini huku kwenye mitongozo...

Mi napita nipo shambani nafanya kilimo cha watoto
Ooh My dear jirani 😂😂. Bado upo mitaa hiyo au? Nilisogea mjini but nakuchaga kucheki mazingira.
That Gentleman ameshatangaza nia bana. Anataka awe Shemela wenu.
 
kiwatengu raia ya mlima wa Mungu napita tu kukusalimia...

Karucee jirani wa zamani tualikane ubweche, nimeona umepigwa ya mkeka na The Gentlemen

Espy we si muchepuko halali wa Eli79 unatafuta nini huku kwenye mitongozo...

Mi napita nipo shambani nafanya kilimo cha watoto
😂 Itifaki izingatiwe.
Kwa mvua hii lazima ufanikiwe kiongozi.
my wife wako measkrone yupo hapo nimnong'oneze jambo?
kuhusu aina ya mbolea tu 😊😊
 
kiwatengu raia ya mlima wa Mungu napita tu kukusalimia...

Karucee jirani wa zamani tualikane ubweche, nimeona umepigwa ya mkeka na The Gentlemen

Espy we si muchepuko halali wa Eli79 unatafuta nini huku kwenye mitongozo...

Mi napita nipo shambani nafanya kilimo cha watoto
Nasingiziwa mambo mazito mimi
Since when yaani
 
Back
Top Bottom