Mfikiri JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 586 Reaction score 125 Nov 11, 2016 #9,021 ooooo nimechelewa nini. Any lady left beind?...njo tutongozane tena leo ijumaa full offer kinywaji mpaka........
ooooo nimechelewa nini. Any lady left beind?...njo tutongozane tena leo ijumaa full offer kinywaji mpaka........
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 6,273 Reaction score 10,125 Nov 11, 2016 #9,022 Fisherscom said: Unataka msaada kwenye tuta...ha haa haaa Click to expand... Ndo hivyo mkuu penalt huwa haina star....ata Messi huwa anakosa....
Fisherscom said: Unataka msaada kwenye tuta...ha haa haaa Click to expand... Ndo hivyo mkuu penalt huwa haina star....ata Messi huwa anakosa....
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Nov 11, 2016 #9,023 shansarie said: Huu uzi utafungwa lini? Click to expand... Bora umekuja, maana....
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Nov 11, 2016 #9,024 FaizaFoxy said: Kwani ni lazima uandike kwa lugha asiyoijuwa vizuri? Ni nani alikudanganya? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Umekuja mpaka huku kwa watongozanao? Hicho kingereza cha kizazi cha Magu
FaizaFoxy said: Kwani ni lazima uandike kwa lugha asiyoijuwa vizuri? Ni nani alikudanganya? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Click to expand... Umekuja mpaka huku kwa watongozanao? Hicho kingereza cha kizazi cha Magu
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,171 Nov 11, 2016 #9,025 Fisherscom said: Jas kam zis wei plizzz cocochanel Click to expand... Hiyo avatar yako mie Nakimbia sitaki kuzeeka haraka Lol
Fisherscom said: Jas kam zis wei plizzz cocochanel Click to expand... Hiyo avatar yako mie Nakimbia sitaki kuzeeka haraka Lol
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 12, 2016 #9,026 Nyani Ngabu said: Maumivu ya beto unayajua au una hamu nayo? Click to expand... Niko kamili mkuu...mwenyewe jipangee
Nyani Ngabu said: Maumivu ya beto unayajua au una hamu nayo? Click to expand... Niko kamili mkuu...mwenyewe jipangee
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 12, 2016 #9,027 MO11 said: kijana kuwa makini sanaaa Click to expand... Niko vizuri sana mkuu hadi najiogopa... Mfikiri said: ooooo nimechelewa nini. Any lady left beind?...njo tutongozane tena leo ijumaa full offer kinywaji mpaka........ Click to expand... Hujachelewa mkuu Mfikiri kuna kamati ya mapinduzi inaundwa kwa ajili ya kupindua wote wenye kapo zaidi ya moja....karibu sana
MO11 said: kijana kuwa makini sanaaa Click to expand... Niko vizuri sana mkuu hadi najiogopa... Mfikiri said: ooooo nimechelewa nini. Any lady left beind?...njo tutongozane tena leo ijumaa full offer kinywaji mpaka........ Click to expand... Hujachelewa mkuu Mfikiri kuna kamati ya mapinduzi inaundwa kwa ajili ya kupindua wote wenye kapo zaidi ya moja....karibu sana
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 12, 2016 #9,028 Adolph hitler jr said: Ndo hivyo mkuu penalt huwa haina star....ata Messi huwa anakosa.... Click to expand... Teh Teh....jeiefu raha sana
Adolph hitler jr said: Ndo hivyo mkuu penalt huwa haina star....ata Messi huwa anakosa.... Click to expand... Teh Teh....jeiefu raha sana
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 12, 2016 #9,029 cocochanel said: Hiyo avatar yako mie Nakimbia sitaki kuzeeka haraka Lol Click to expand... Avatar isikutishe laazizzz cocochanel...iko na handsome mwenyewe utasuuuzika na roho yako...karibu tujibebishe...
cocochanel said: Hiyo avatar yako mie Nakimbia sitaki kuzeeka haraka Lol Click to expand... Avatar isikutishe laazizzz cocochanel...iko na handsome mwenyewe utasuuuzika na roho yako...karibu tujibebishe...
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Nov 12, 2016 #9,030 Naomba yangu na shunie iwe verified!! Sitaki ugomvi na mtu.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,171 Nov 12, 2016 #9,031 Fisherscom said: Avatar isikutishe laazizzz cocochanel...iko na handsome mwenyewe utasuuuzika na roho yako...karibu tujibebishe... Click to expand... Ha ha haaa sawa, ila aibu bado imenijaaaa.
Fisherscom said: Avatar isikutishe laazizzz cocochanel...iko na handsome mwenyewe utasuuuzika na roho yako...karibu tujibebishe... Click to expand... Ha ha haaa sawa, ila aibu bado imenijaaaa.
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 12, 2016 #9,032 cocochanel said: Ha ha haaa sawa, ila aibu bado imenijaaaa. Click to expand... Usiogope bby...jus be free nami. Afu wajua niko 'single" wasije kukuwahi bhanaa, sipendi niwe na kapo nyingi kama MO11 amaa...
cocochanel said: Ha ha haaa sawa, ila aibu bado imenijaaaa. Click to expand... Usiogope bby...jus be free nami. Afu wajua niko 'single" wasije kukuwahi bhanaa, sipendi niwe na kapo nyingi kama MO11 amaa...
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,171 Nov 12, 2016 #9,033 Fisherscom said: Usiogope bby...jus be free nami. Afu wajua niko 'single" wasije kukuwahi bhanaa, sipendi niwe na kapo nyingi kama MO11 amaa... Click to expand... Single tena DUH Hainogi, nataka wa kushindana naye. Kuwa mkweli una wanawake wangapi?
Fisherscom said: Usiogope bby...jus be free nami. Afu wajua niko 'single" wasije kukuwahi bhanaa, sipendi niwe na kapo nyingi kama MO11 amaa... Click to expand... Single tena DUH Hainogi, nataka wa kushindana naye. Kuwa mkweli una wanawake wangapi?
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 12, 2016 #9,034 cocochanel said: Single tena DUH Hainogi, nataka wa kushindana naye. Kuwa mkweli una wanawake wangapi? Click to expand... Wewe ndo wa kwanzaaa....niwahi bhanaa usicheleweee
cocochanel said: Single tena DUH Hainogi, nataka wa kushindana naye. Kuwa mkweli una wanawake wangapi? Click to expand... Wewe ndo wa kwanzaaa....niwahi bhanaa usicheleweee
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Nov 12, 2016 #9,035 Fisherscom said: Niko kamili mkuu...mwenyewe jipangee Click to expand...
Shelus Jr JF-Expert Member Joined Jun 2, 2016 Posts 270 Reaction score 167 Nov 12, 2016 #9,036 Nipo hapa baby
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,171 Nov 12, 2016 #9,037 Fisherscom said: Wewe ndo wa kwanzaaa....niwahi bhanaa usicheleweee Click to expand... Nataka mzoefu mimi, atakayenisumbua kichwa. Kwi kwi kwiiiii
Fisherscom said: Wewe ndo wa kwanzaaa....niwahi bhanaa usicheleweee Click to expand... Nataka mzoefu mimi, atakayenisumbua kichwa. Kwi kwi kwiiiii
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 12, 2016 #9,038 Valentina said: Click to expand... Nakuona tu Valentina....watoa mimacho tuu, karibu
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 Nov 12, 2016 #9,039 cocochanel said: Nataka mzoefu mimi, atakayenisumbua kichwa. Kwi kwi kwiiiii Click to expand... Wala uc'hoff cocochanel utakuwa na Valentina nadhani hapo kichwa kitasumbuka vizuri...
cocochanel said: Nataka mzoefu mimi, atakayenisumbua kichwa. Kwi kwi kwiiiii Click to expand... Wala uc'hoff cocochanel utakuwa na Valentina nadhani hapo kichwa kitasumbuka vizuri...
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,670 Reaction score 78,171 Nov 12, 2016 #9,040 Fisherscom said: Wala uc'hoff cocochanel utakuwa na Valentina nadhani hapo kichwa kitasumbuka vizuri... Click to expand... Mmmmmmh Sidhani kama nitasumbuka, haya taja wengine
Fisherscom said: Wala uc'hoff cocochanel utakuwa na Valentina nadhani hapo kichwa kitasumbuka vizuri... Click to expand... Mmmmmmh Sidhani kama nitasumbuka, haya taja wengine