Sleeper Cell
JF-Expert Member
- Apr 7, 2016
- 210
- 265
Ni jina la mtu?Kaniitie mti wa ajabu
Missed u [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hahaha ntakuta talaka mlangoni afu tatizo nilishajaribu kumcheat lililonipata siri yangu,sirudii tena hapa nimeoza.
Ngoja nikutafutie mdada wako peke yako uache kudandia wake za watu
mie namuacha hana ushrkiano chumbani[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nimekuja babaKaniitie mti wa ajabu
Hapana huo mziziNi jina la mtu?
Viburudisho vipo sinza,sio hapaWajameni na mie nataka kiburudisho sijafanya mazoezi ya kiuno longiii [emoji74]
Mdada 18+ ebu jitokezeee.....tuijenge Tz ya viwanda tufyatue maisha yaendelee
Mambo mama? Za masiku mingi!Nimekuja baba
HahahaaaHapana huo mzizi
Umeamka salama? Niambie leo nikuandalie nini mezani wakati unaandaa maji bafuniNimekuja baba
Hahahah itabid uniandalie jioni now naenda kwenye mihangaiko,uniandalie shv kweli unipend wewe mda wote ulikuw unafany nn?Umeamka salama? Niambie leo nikuandalie nini mezani wakati unaandaa maji bafuni
[emoji74] [emoji74] so kuna nini hapa ndugu yangu Mti wa ajabu fanya kama unanielekeza mi mgeni maeneo hayaViburudisho vipo sinza,sio hapa
Siku ya leo nzuri sana, siku zote nnilikaa nichunguze tabia. Ok mamaa, kachakarike tuyajenge maana Magufuli huyu watoto wanaweza kukosa unga.Hahahah itabid uniandalie jioni now naenda kwenye mihangaiko,uniandalie shv kweli unipend wewe mda wote ulikuw unafany nn?
Mkuu inaonekana una nyota ya wizi. Yaani unaonge na kutaka kuniibia live live? Tafuta wa kwako bwana acha utoto. Alaaaa[emoji74] [emoji74] so kuna nini hapa ndugu yangu Mti wa ajabu fanya kama unanielekeza mi mgeni maeneo haya
[emoji74] [emoji74] [emoji74] usiogope mkuu kuhusu wizi sisi wavaa mashati ya kijani ndio zetu ila nakuheshimu siwezi kukuibia hahahaMkuu inaonekana una nyota ya wizi. Yaani unaonge na kutaka kuniibia live live? Tafuta wa kwako bwana acha utoto. Alaaaa