Imebidi niurudie huu Uzi ukurasa wa kwanza maana nilikuwa Kama vile nimeuvaamia!!
Sasa nimeuelewa. kiwatengu itabidi kuwe na Uzi mpya au update huu maana inaonekana umebezi mapenzi 2014.
Pia nimegundua Kim Nana yupo single japo kimya Sana hadi nahisi labda sheria imemchukua. Ingekuwa vema mkishatongozana mkakubaliana basi mtoke humu au mbakie Kama watoa Msaada.
kabanga tumebaniwa mweeeh, sasa mbona mie naona aibu hapa?
nakusarandia katika rada zangu ATOTO
Hizo rada ziko ngapi?
ha ha ha ziko mbili moja nimetega mmu nyingine hapa live stream
Oooh okey, kila la kheri.
Oooh okey, kila la kheri.
Baby mambo
zote zinakutafuta wewe atoto
Mweeeeh! Na uzee huu jamani uniite baby kweli!!
Sema bas jina gani unapenda nikuite mpnz wng
Wacha we!
Seriously nakupenda sana atoto wng
Eti eeeh! Nashukuru sana
Eti eeeh! Nashukuru sana