ulichokuwa unataka umwambie, niambie
Hahahaaaa! Nilitaka nimfahamu wifi yangu maana hakuwahi kunitambulisha, sasa nawe niambie who is my wifi kwako?
Hivi ndoa yetu haitambuliki humu?!
Ndoa yenu na nani?
ndio natafuta..Hahahaaaa! Nilitaka nimfahamu wifi yangu maana hakuwahi kunitambulisha, sasa nawe niambie who is my wifi kwako?
Unanikana hadharani?! Haya bibie..........
ndio natafuta..