uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 14,680
- 20,445
Last edited by a moderator:
duuuuh haya bwana nimeshindwa
anataka kunichanganyia watu huyu mpenzi wangu
basi kama hujui tulia kuna jopo la watu kibao hapa..
afu kunakitu nimekuambia ufanye..niambie kama umeelewa.
![]()
my baby...mwaaaaaaaaah
usishindwe mkuu raha ya mapenzi kupendana kama mimi na my 'Valentina' tunavyopendana kwa dhati
Ahaaa.. nipo mie asa c nimeona kimya tena.. halafu ulivyotaja kcb ya kuleee ndo nikajua hamna ki2 tena beib..
me napita tu
mnatimiza agizo la kuujaza ulimwengu.