Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

kaka kiwatengu!

hivi hii couple ya mkuu excel inaenda endaje??

can you please say something before something happen?
 
Last edited by a moderator:
kaka kiwatengu!

hivi hii couple ya mkuu excel inaenda endaje??

can you please say something before something happen?

tena huu ndio muda mujarabu wakuyaweka mambo sawa..
bibie miss neddy hebu vuta kiti hapa taraatibu,
ikibidi watu tufanye editing hapa.
 
Last edited by a moderator:
tena huu ndio muda mujarabu wakuyaweka mambo sawa..
bibie miss neddy hebu vuta kiti hapa taraatibu,
ikibidi watu tufanye editing hapa.
miss neddy sidhani kama anaweza kuja hapa!

ataipotezea tu na hii,

mi nataka ww uweke wazi, what is happening?
 
Last edited by a moderator:
atakuja tu!!
kuna siku aliniambia kakuachia miss ngatara..
je, hili wewe walijua?

kaniachia??? kwani yeye miss neddy ana ruhusa ya kuwaachia wanawake wenzie kwa 'mumewe'?

Hizo habari mi sizijui kabisaa....

Bora aje athibitshe hapa kwamba ana mwanaume mwingine...
 
Last edited by a moderator:
Naona ukapotea kama ndege ya malaysia

hahahaa! besti mi nipo nipo sana! si unajua umri ukipanda lazima uzidi ku hustle? mwanaume kutoka jasho bwana, mwanamke chake kipodozi!!!
ntazidi kuwepo lakini....!
 
kaniachia??? kwani yeye miss neddy ana ruhusa ya kuwaachia wanawake wenzie kwa 'mumewe'?

Hizo habari mi sizijui kabisaa....

Bora aje athibitshe hapa kwamba ana mwanaume mwingine...

afadhali umesema mwenyewe..
information is power..
miss neddy hebu njoo utoe msimamo wako hapa aisee...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom