AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
AshaDii, you said it good. To me hawa wawil walipaswa sana kutuonyesha jisi ambavyo wanaweza kucontain hisia zao za mapenzi.It sounds akward kama mtu wa kawaida utafanya ngono uangaliwe na watu milion kadhaa dunian. hivi kweli such popularity unategemea ikusaidiae kweli? Unless kama hana ambtion ya kufanya kazi yaani awe mama wa nyumbani, manake nimejaribi ku focus kama ameomba kazi kwenye mashirika halafu watu wakakumbuka hili kama application watu wataigusa sijui. huku ni kujiaribia sana tena for life na walitakiwa wakumbuke kuwa this record can be kept for life na kila mtu anapoitaka akaiona so hata kama atakuja kuwa safi namna gani bado ataambiwa mbona ana picha chafu alizopiga?
Hii show nafikir founders wake walikuwa na nia njema sana ila wakasahau kabisa akili za binadam ni bora hata na za mbwa kwani u need to train a dog once to change behaviour but a man 100 times to change the same bahaviour. Sioni sababu ya Tz kushiriki katika jumba hii ambalo linadhalilisha si utu wa mtu pekee bali pia taswira ya taifa zima.Hata Mungu anachukia haya. Yaani najiuliza zamani haya mambo ya sexual immorality yalifanywa katika secrecy ya hali ya juu bali leo hii yamekuwa ni mambo yako openly kama vile kusuka nywele salun au kunyoa lol. tubadilike.
Tena basi kama sikosei show za mwanzo zilikua hazina kabisa kashfa za Sex... ila alipokuja Abby akafanya kweli ndio iliharibu kila kitu. lol. Ikawa kama vile wamepanda mbegu. Na sijawahi ona ambae alifanya na alishinda ama partner wake, sijui hawashtuki? Sad.