Live sex in Big Brother star game!!

uzinzi program/stupid program... huku tunakoenda hawa watoto wetu sijui itakuwaje maana huu ushetani unaoendelea kwenye ma-tv is disgusting kwa kweli.. Mungu atusaidie tu
 
kitu cha kawaida bba, hata richard na tatiana walinaniliu......................

Ndo njia ya kupunguza energy ya mavyakula wanayokula bure
 
Halafu kuna wapumbavu utawasikia eti wawakilishi wa Tanzania Big Brother!!....pumbavu kabisa ningekuwa na Authority nchi hii ingepiga marufuku vijana wake kushiriki michezo ya kishetani kama huu upuuzi unaoitwa eti Big Brother!!
 
Kwani kunatofauti gani na nyie mnaong'oa kona bar?
 
Wana haraka hao... Hivi sex ndio njia pekee ya kukuza jina in the house? This BBA ni nzuri sana ingekua wanao ingia humo sio malimbukeni... Hio inatangazwa dunia nzima. Na waliomo humo wanawakilisha bara la Africa. Kwa kweli ni aibu... Niliwahi sikia kwa baadhi ya kaka wakikiri kabisa akiwakilisha mdada Tz wanampigia kura atoke haraka sana kukwepa aibu za namna hii...

hawa waanzilishi na waendeshaji wa big brother ni wakoloni na wanyanyasaji. wana vuruga utu wa kijana wa kiafrika kupitia umasikini wa kiafrika. mambo yanayofanywa big brother house yanafurahisha kwa watazamaji finyu lakini ni kwa gharama ya utu wa washiriki. ukiingia big brother na mtandio kama nani hii wanakutoa kesho tu. lakini ingia kwa kufanya sex hadharani , amini utapata kukaa ndani ya nyumba kwa 75% ya muda wa kakuaa humo.

big brother walimvua nguo bhoke, baada ya kumvua wakamwacha na kibarua cha kujisafisha kwa jamii yake, wao wamekaa pembeni malengo yao yakiwa yametimia.na wanaendelea kuwavua wengi.
 
uzinzi program/stupid program... huku tunakoenda hawa watoto wetu sijui itakuwaje maana huu ushetani unaoendelea kwenye ma-tv is disgusting kwa kweli.. Mungu atusaidie tu
hizi ni mbinu za shetani kuiangamiza dunia kwa kuencourage uzinzi kupitia vyombo vya mawasiliano
 
Thanks for the Clip
.... What a waste!!

Mambo ya kuiga haya... They do not look comfortable kabisa, na pleasure siamini kama ilikua two sided hio... Wa chini sioni hata kama kaplay part yoyote ile zaidi ya kusema alishiriki. Sad. If you do something crazy like having sex infront of a million viewers at least basi ingekua something worth watching....

AshaDii and Others

Hapo katika Bluu. Amini usiamini hawajaiga na hivyo ndivyo waafrika sisi tulivyo. Ndio tabia yetu hiyo na ndio tabia ya waafrika wengi. Wanapenda sana ngono bila kujali wako wapi na nani anawaona. Ndio sababu waafrika wengi sio waaminifu kwa wapenzi wao na hata wenza wao wa ndoa, TRUST ME!

Hivyo ndivyo waafrika walivyo maana hujali yeye kuridhika katika sex na sio kumridhisha kwanza mwenzie ndipo yeye afuate hasa wanaume. Ndivyo wanaume wa kiafrika walivyo wakishamaliza ejaculation hawajali kumfikisha na mwenzake na ndivyo hao walivyofanya pia.

So long as this is reaality TV show, lazima waonyeshe uhalisia wa maisha yao wala sio kuiga, na wlaichokifanya hao wameonyesha uhalisia haswaa wa maisha yao na uafrika wao ulivyo, waafrika wengi sio wavumilivu katika ngono. Acha watuonyeshe tulivyo washenzi wala hawajafanya lolote baya.
 
Last edited by a moderator:
Superman na Jestina mmenisoma vibaya.... hahaha....

On a serious note: Simlaumu sana Luke... He was just being a man... Sijui labda kidogo nimepitwa, ila sioni msingi wa wao kufanya hilo tendo live... kua walishindwa kuvumilia. The way wamefanya ni kama vile tu a casual couple ambapo wakiwa pamoja hamu inawaingia na wanaamua kufanya tendo. Kama vile ni watu wamezoeana siku nyingi. Jessica kwa upande wangu naona kaniangusha sana kutuwakilisha akina mama wa Kiafriaca. Sie hata kama unataka swagger lazima ziwepo bana. Alafu ukijua utaangaliwa na umati ni excuse tosha, I want to do it ila subiri tutok humu ndani sitaki ndugu zangu wanione...

Tabia za tendo la 6/6 lina vary... the way walengwa wanafanya inatoa picha halisi ya vitu kama hamu waliokua nayo kutaka kufanya hivo (na hio hamu kama ni lust/need ama tu neccessity). Na hio inatoa picha kama wangeweza kusubiri na kuweka hamu zao pembeni ama lah. Jestina umenichekesha... mimi ni mtu mzima saana hilo tendo nilisha acha... naongea tu out of observations na experiences... I was young once you kno...
AshaDii, you said it good. To me hawa wawil walipaswa sana kutuonyesha jisi ambavyo wanaweza kucontain hisia zao za mapenzi.It sounds akward kama mtu wa kawaida utafanya ngono uangaliwe na watu milion kadhaa dunian. hivi kweli such popularity unategemea ikusaidiae kweli? Unless kama hana ambtion ya kufanya kazi yaani awe mama wa nyumbani, manake nimejaribi ku focus kama ameomba kazi kwenye mashirika halafu watu wakakumbuka hili kama application watu wataigusa sijui. huku ni kujiaribia sana tena for life na walitakiwa wakumbuke kuwa this record can be kept for life na kila mtu anapoitaka akaiona so hata kama atakuja kuwa safi namna gani bado ataambiwa mbona ana picha chafu alizopiga?

Hii show nafikir founders wake walikuwa na nia njema sana ila wakasahau kabisa akili za binadam ni bora hata na za mbwa kwani u need to train a dog once to change behaviour but a man 100 times to change the same bahaviour. Sioni sababu ya Tz kushiriki katika jumba hii ambalo linadhalilisha si utu wa mtu pekee bali pia taswira ya taifa zima.Hata Mungu anachukia haya. Yaani najiuliza zamani haya mambo ya sexual immorality yalifanywa katika secrecy ya hali ya juu bali leo hii yamekuwa ni mambo yako openly kama vile kusuka nywele salun au kunyoa lol. tubadilike.
 
Last edited by a moderator:
Hivyo vyakula na vinywaji wanavowekewa, huwa hawa waekei vichocheo vya kuamsha hisia za ngono kweli?
Mana washiriki wengi wana waza "kusuana" tu.
 
mi kila mwaka naa apply hii kitu hawaniitii..aaah eeeh mola nijalie wanichague siku moja halafu wasikilizie mziki wake..kudadadeki...yaani mpka siku 91 ziishe mabinti wote wanatema mate yanaishia kifuani kudadadekiii....sio hawa wanapapasana tu dakika 3 goli...ovyooooo...
 
hawa waanzilishi na waendeshaji wa big brother ni wakoloni na wanyanyasaji. wana vuruga utu wa kijana wa kiafrika kupitia umasikini wa kiafrika. mambo yanayofanywa big brother house yanafurahisha kwa watazamaji finyu lakini ni kwa gharama ya utu wa washiriki. ukiingia big brother na mtandio kama nani hii wanakutoa kesho tu. lakini ingia kwa kufanya sex hadharani , amini utapata kukaa ndani ya nyumba kwa 75% ya muda wa kakuaa humo.

big brother walimvua nguo bhoke, baada ya kumvua wakamwacha na kibarua cha kujisafisha kwa jamii yake, wao wamekaa pembeni malengo yao yakiwa yametimia.na wanaendelea kuwavua wengi.

Kindimbajuu sioni kama lawama zote zinastahili hawa wa Big Brother.... Hapana. Naona pia hata wenyewe washiriki na their lack or poor capacity ya ufikiri. Kila mmoja hutaka jina lake liwe kubwa zaidi... Kila mmoja hutaka ashinde, for kumbuka kua pesa wanayoshindania ni kubwa sana. Inawafanya wanakua desperate hadi wanasahau utu wao... Kwamba Bhoke aliambiwa ni lazima avue nguo? Na aliporudi alisema na sio kujitetea kua she has the right to do what ever she wants na wala hata hajutii... Kwani walo shiriki na Bhoke wote walishiriki au kufanya hilo tendo? Mimi naona tatizo ni washiriki wenyewe...
 
Last edited by a moderator:

AshaDii and Others

Hapo katika Bluu. Amini usiamini hawajaiga na hivyo ndivyo waafrika sisi tulivyo. Ndio tabia yetu hiyo na ndio tabia ya waafrika wengi. Wanapenda sana ngono bila kujali wako wapi na nani anawaona. Ndio sababu waafrika wengi sio waaminifu kwa wapenzi wao na hata wenza wao wa ndoa, TRUST ME!

Hivyo ndivyo waafrika walivyo maana hujali yeye kuridhika katika sex na sio kumridhisha kwanza mwenzie ndipo yeye afuate hasa wanaume. Ndivyo wanaume wa kiafrika walivyo wakishamaliza ejaculation hawajali kumfikisha na mwenzake na ndivyo hao walivyofanya pia.

So long as this is reaality TV show, lazima waonyeshe uhalisia wa maisha yao wala sio kuiga, na wlaichokifanya hao wameonyesha uhalisia haswaa wa maisha yao na uafrika wao ulivyo, waafrika wengi sio wavumilivu katika ngono. Acha watuonyeshe tulivyo washenzi wala hawajafanya lolote baya.

Nimependa the angle ambayo umetokea na hii....

Hapa hata hivo umegeneralise saana, hapa umezungumzia vijana wa mjini for ni apparent upo mjini na hio ndio basis ambayo umetumia kuvuta hio analysis. Kumbuka kua mijini humu maisha yamebadilika saana na maadili yalo mengi kubomoka kwa hali ya juu, tokana na vijana wengi kutaka kuishi maisha ambayo sio yao. Vijana ambao ndio group hasa inachukuliwa kwenda kuwakilisha kule... Swali tu dogo, unadhani Bhoke kweli ndio anawakilisha binti wa kawaida wa kitanzania alivo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom