Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

WATU WAKUFA …….!!! ANAFANYA NINI HAPO? Anataka AMANI ILI WATU WAENDELEE KUTEKWA NA KUPOTEZWA.

Alafu kuna Mtanganyika anapost huu ujinga.
 
Lissu kakukomesha ndiyo maana una hasira. Utapeli wako wa miaka zaidi ya ishirini ulifikia ukingoni kwa aiabu kubwa.
Kijana huu sio muda wa mipasho! Mlichukua chama kwa mihemuko mikali ya kuleta mabadiliko sijui mmetapeliwa muda mrefu na fitina nyingi sana!

Huu ni muda wa kuyaweka into action yale mliyohubiri maana hizi fitina zako kwa sasa hazisaidii chochote.
 
ukifuatilia ww na familia yako inatosha
 
Kijana huu sio muda wa mipasho! Mlichukua chama kwa mihemuko mikali ya kuleta mabadiliko sijui mmetapeliwa muda mrefu na fitina nyingi sana!

Huu ni muda wa kuyaweka into action yale mliyohubiri maana hizi fitina zako kwa sasa hazisaidii chochote.
Wewe Mbowe sikiliza. Lissu ni kiboko yako na ataendelea kuwa kiboko yako
 
Kelele za chura hizo...
 

Attachments

  • 20251113_220421.jpg
    56.6 KB · Views: 24
  • Screenshot_20251029-213246_Gallery.jpg
    192.8 KB · Views: 18
  • Screenshot_20251029-194431_Gallery.jpg
    114.1 KB · Views: 18
Huyu Bibi Shetani afe tu, Hana mvuto tena tukimuona anatutonesha vidonda vyetu kwa kuwaua Ndugu zetu na kawafukia kibabe.

MUNGU tunakuomba January isiishe huyu akalale mahala stahili, MUNGU ukaonekane maana wewe husimama na wanaonewa.
Haya mnayo sema jamani si sawa.
Jitafakari wewe hunakosa ulofanya upo safi kabisa.
Watu wanapo nadia mwizi na watu wakatoka kwenda kumpiga na kumchoma moto hamuoni kama ukatili gani huo mnao fanya.
LKwani mama wahuyo mwizi haumii au haumii?

Yupo mtanzania gani alokuwa msafi hana kosa lajinai la kubaka lakuiba kuchukuwa mke au mume wamtu au mtoto wa mtu.

Sote tuna dhambi mola atusamehe.
Na mola hawezi kukusamehe kama wewe huwi mwepesi wa kusamehe.

Kuuwana kugombana na kuchukiana kumeanza zamani kote duniani.
Lakini makubaliano maridhiano na kusameheana ndio zilo leta maendeleo.
Tuondoshe chuki na tusameheane ili tupate kusonga mbele.
Mungu Tusaidie kutia upendo furaha maridhiano na misamaha katika nyoyo zetu.

Barka za mwaka mpoya zikujieni nyote
Ameen
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…