Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,019
- 132,759
Mungu amlaani kwa maelfu aliyoua!Wanabodi
Mama yuko live hewani
Paskali
Haitasaidia kitu!!Natangaza kwamba Sitamsikiliza
Jiandae baada ya 2030 kutawaliwa na mwanaCCM mwingine.Hana jipya huyu,sijajua malaika mtoa roho anafanya kazi gani,huyu jini mnyonya damu hakupaswa hata kuiona 2026 hata kwa dakika Moja.
Damu za watu 10,000 zimuandame yeye na uzao wake
Haya chawa sikilizeni
Bota umefanya hivyo....pumba tu anasoma....naona lengo ni kumuonyesha bado yupoNatangaza kwamba Sitamsikiliza
YANI PASCO LEO UMENISHANGAZA SANA... YANI YALIYOPITA KUFUJA, UCHAGUZI, MAUAJI YA NDUGU NA MADHAMBI KIBAO UNAYAITA SI NDWELE?!
Kweli nimeshangaa sanaUnakuta jitu zima lenye mvi eti nalo linasema "mama"
Wanabodi
Mama yuko live hewani
View: https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx
Paskali